Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS)
Endelea kuamini. Ipo siku utapata..
Endelea kuamini. Ipo siku utapata..
See lessNafasi za Kazi Golf Crest Hoteli
Maombi yote ni kwa njia ya email
Maombi yote ni kwa njia ya email
See lessNafasi za Kazi Golf Crest Hoteli
Wanaotakiwa ni watu wa mapokezi
Wanaotakiwa ni watu wa mapokezi
See lessJinsi ya Kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania
Mwisho wa kupokea maombi ya Mkopo / mikopo HESLB A. Miongozo hiyo inapatikana kwenye tovuti yetu ya Bodi ya Mikopo ya www.heslb.go.tz toka Juni 01, 2024 na nawasihi waombaji mikopo kusoma na kuielewa miongozo hiyo kabla ya kuanza kufanya maombi ya mkopo, pamoja na kuzingatia muda uliopangwa wa kujazRead more
Mwisho wa kupokea maombi ya Mkopo / mikopo HESLB
A. Miongozo hiyo inapatikana kwenye tovuti yetu ya Bodi ya Mikopo ya http://www.heslb.go.tz toka Juni 01, 2024 na nawasihi waombaji mikopo kusoma na kuielewa miongozo hiyo kabla ya kuanza kufanya maombi ya mkopo, pamoja na kuzingatia muda uliopangwa wa kujaza maombi ya mkopo wa siku tisini (90), kuanzia Juni 01 hadi Agosti 31, 2024, amesisitiza Dkt. Kiwia.
See lessJinsi ya Kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania
Ada ya Maombi ya Mkopo HESLB (Bodi ya Mikopo Tanzania) Waombaji wanapaswa kulipia ada ya maombi ya mkopo ya kiasi cha shilingi elfu thelathini (30,000) kupitia Benki ya NMB, CRDB au TPB au kwa mitandao ya simu ya M-PESA, TIGO PESA, na AIRTEL MONEY. Kwa maelezo zaidi tembelea: https:/olas.heslb.go.tz
Ada ya Maombi ya Mkopo HESLB (Bodi ya Mikopo Tanzania)
Waombaji wanapaswa kulipia ada ya maombi ya mkopo ya kiasi cha shilingi elfu thelathini (30,000) kupitia Benki ya NMB, CRDB au TPB au kwa mitandao ya simu ya M-PESA, TIGO PESA, na AIRTEL MONEY. Kwa maelezo zaidi tembelea: https:/olas.heslb.go.tz
See lessUtaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB
Orodha ya Waombaji Waliochaguliwa / waliopangiwa kwenye Taasisi za Elimu ya Juu HESLB itazingatia maombi ya mkopo kutoka kwa wanafunzi waliodahiliwa katika Taasisi za Elimu ya Juu na kuthibitishwa na kuwasilishwa HESLB na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) au mamlaka nyingine iliyothibitishwa.
Orodha ya Waombaji Waliochaguliwa / waliopangiwa kwenye Taasisi za Elimu ya Juu
HESLB itazingatia maombi ya mkopo kutoka kwa wanafunzi waliodahiliwa katika Taasisi za Elimu ya Juu na kuthibitishwa na kuwasilishwa HESLB na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) au mamlaka nyingine iliyothibitishwa.
See lessUtaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB
KUHAMA CHUO AU KOZI NDANI YA CHUO HESLB haitafanya malipo ya mkopo kwa wanafunzi ambao watahama vyuo kwa hiari yao wenyewe. Baada ya kupokea uthibitisho wa uhamisho wa mwanafunzi kutoka kwa mamlaka husika, uhamisho wa mkopo utafanyika. Hakuna uhamisho wa mkopo utakaofanyika zaidi ya siku mia moja isRead more
KUHAMA CHUO AU KOZI NDANI YA CHUO
See lessHESLB haitafanya malipo ya mkopo kwa wanafunzi ambao watahama vyuo kwa hiari yao wenyewe. Baada ya kupokea uthibitisho wa uhamisho wa mwanafunzi kutoka kwa mamlaka husika, uhamisho wa mkopo utafanyika. Hakuna uhamisho wa mkopo utakaofanyika zaidi ya siku mia moja ishirini (120) baada ya kutangazwa taarifa za udahili. Uhamisho wa mkopo utafanyika kulingana na kiasi cha mkopo kilichopangwa awali.
Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB
UREJESHAJI MKOPO HESLB Baada ya kuhitimu au kusitisha masomo ya elimu ya juu, mnufaika wa mkopo atatakiwa kurejesha mkopo kwa makato si chini ya asilimia kumi na tano (15%) ya mshahara wake wa kila mwezi. Mnufaika ambaye amejiajiri anapaswa kurejesha mkopo wake kwa kiwango kisichopungua shilingi lakRead more
UREJESHAJI MKOPO HESLB
See lessBaada ya kuhitimu au kusitisha masomo ya elimu ya juu, mnufaika wa mkopo atatakiwa kurejesha mkopo kwa makato si chini ya asilimia kumi na tano (15%) ya mshahara wake wa kila mwezi. Mnufaika ambaye amejiajiri anapaswa kurejesha mkopo wake kwa kiwango kisichopungua shilingi laki moja (100,000/=) kwa mwezi au 10% ya pato lake linalotozwa kodi. Mikopo yote inatozwa asilimia moja (1%) ya ada ya uendeshaji kwenye mkopo halisi wa mnufaika kwa mwaka.
Kozi zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB
KADA (KOZI) ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB Kundi la Tatu (i) Programu katika kundi hili ni pamoja na Masomo ya Biashara na Uongozi, Sayansi za Jamii, Sanaa, Sheria, Lugha, Fasihi na Masomo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano. (ii) Programu nyingine zote ambazo hazijaorodheshwa katika kundi lolRead more
KADA (KOZI) ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB
See lessKundi la Tatu
(i) Programu katika kundi hili ni pamoja na Masomo ya Biashara na Uongozi, Sayansi za Jamii, Sanaa, Sheria, Lugha, Fasihi na Masomo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano.
(ii) Programu nyingine zote ambazo hazijaorodheshwa katika kundi lolote kati ya hayo matatu, zitaangukia katika kundi la tatu.
Kozi zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB
KOZI ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB Kundi la Pili Kozi katika kundi hili ni: (i) Programu za Msingi za Sayansi (Shahada ya Sayansi kwa ujumla katika Wanyama, Mimea, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Baiolojia ya Viumbe Vidogo, Baiolojia ya Mifugo na Bioteknolojia, Uvuvi na Mifugo, Sayansi ya MazingiraRead more
KOZI ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB
Kundi la Pili
Kozi katika kundi hili ni:
See less(i) Programu za Msingi za Sayansi (Shahada ya Sayansi kwa ujumla katika Wanyama, Mimea, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Baiolojia ya Viumbe Vidogo, Baiolojia ya Mifugo na
Bioteknolojia, Uvuvi na Mifugo, Sayansi ya Mazingira na Uhifadhi, Matibabu, Hisabati na Takwimu, Sayansi ya Mazingira na Usimamizi, Afya na Mazingira, Baioteknolojia na Maabara, Wanyamapori na Uhifadhi, na Kompyuta); TEHAMA, Vipimo na Mizani, Mazingira na Maendeleo ya Miji.
(ii) Programu ya Sayansi ya Ardhi (Ubunifu Majengo, Ubunifu Mandhari nje ya Majengo, Usanifu ndani ya Majengo, Uchumi Ujenzi, Mipango Miji na Vijiji, Usimamizi na Uthaminishi Ardhi, Jiospasho, Teknolojia katika Usanifu).