Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC TARIME 2024 Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili. Nakala Tovuti ya Halmashauri ya Mji www.tarimetc.go.tz Mbao za matangazo
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC TARIME 2024
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.
Nakala
See lessTovuti ya Halmashauri ya Mji
http://www.tarimetc.go.tz
Mbao za matangazo
Nafasi za Ajira Serikalini – Nafasi 192 Utumishi Taasisi za Elimu Tanzania Agosti 2024
AJIRA MPYA UTUMISHI - NAFASI ZA AJIRA SERIKALINI AGOSTI 2024 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 26 Agosti 2024; Wagombea walioorodheshwa tu ndio watajulishwa tarehe ya usaili Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyoRead more
AJIRA MPYA UTUMISHI – NAFASI ZA AJIRA SERIKALINI AGOSTI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 26 Agosti 2024;
Wagombea walioorodheshwa tu ndio watajulishwa tarehe ya usaili
Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana katika Tovuti ya PSRS, Bofya ‘Recruitment Portal’)
See lessNafasi za Kazi Wilaya ya Tunduru – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA TUNDURU AGOSTI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa :- MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNRead more
AJIRA MPYA TUNDURU AGOSTI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa :-
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU
S.L.P 275
TUNDURU
Nafasi za kazi Mji Kasulu – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA MJI KASULU AGOSTI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji Kasulu S.L.P 475 KASULU.
AJIRA MPYA MJI KASULU AGOSTI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
See lessHalmashauri ya Mji Kasulu
S.L.P 475
KASULU.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Buhigwe – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA BUHIGWE - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI 2024 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya S.L.P 443 BUHIGWE
AJIRA MPYA BUHIGWE – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
See lessHalmashauri ya Wilaya
S.L.P 443
BUHIGWE
Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA JSC AGOSTI 2024 Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira watembelee Tovuti ya Tume ili kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa. Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili. Kwa maulizo zaidRead more
KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA JSC AGOSTI 2024
Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira watembelee Tovuti ya Tume ili kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa. Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili. Kwa maulizo zaidi piga; simu Na 0734219821 au 0738247341 na Barua pepe: maulizo.ajira@jsc.go.tz
See lessNafasi za Kazi INEC – NEC August 2024
AJIRA MPYA TUME YA UCHAGUZI (NEC) AGOSTI 2024 Afisa Mwandikishaji wa Jimbo (Ngazi yoyote ya Jimbo ndani ya Mkoa au Wilaya husika) Majukumu: (i) Kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Jimbo lake; (ii) Kuratibu shughuli zote za Uchaguzi katika Jimbo husika; (iii) Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa tarRead more
AJIRA MPYA TUME YA UCHAGUZI (NEC) AGOSTI 2024
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo (Ngazi yoyote ya Jimbo ndani ya Mkoa au Wilaya husika)
Majukumu:
(i) Kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Jimbo lake;
(ii) Kuratibu shughuli zote za Uchaguzi katika Jimbo husika;
(iii) Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa taratibu za Uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
Sifa za Afisa Mwandikishaji wa Jimbo:
See less(i) Awe raia wa Tanzania;
(ii) Awe Mjumbe wa Umoja;
(iii) Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote;
(iv) Awe na uzoefu wa kutosha wa kuweza kushughulikia kazi bila ya usimamizi wa karibu;
(v) Awe muadilifu na mkweli;
(vi) Awe na uwezo wa kutenda haki na kufuata Sheria za Uchaguzi.
Nafasi za Kazi INEC – NEC August 2024
AJIRA MPYA INEC AGOSTI 2024 - TUME YA UCHAGUZI Afisa Mwandikishaji (Ngazi ya Wilaya) Majukumu: (i) Kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Wilaya yake; (ii) Kuratibu uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya husika; (iii) Kutuma taarifa za Wilaya kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Mkoa; (iv) Kuandaa na kurRead more
AJIRA MPYA INEC AGOSTI 2024 – TUME YA UCHAGUZI
Afisa Mwandikishaji (Ngazi ya Wilaya)
Majukumu:
(i) Kusimamia shughuli za Uchaguzi katika Wilaya yake;
(ii) Kuratibu uandikishaji wa wapiga kura katika Wilaya husika;
(iii) Kutuma taarifa za Wilaya kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Mkoa;
(iv) Kuandaa na kuratibu taratibu za Uchaguzi katika Wilaya yake;
(v) Kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za Uchaguzi.
Sifa za Afisa Mwandikishaji:
See less(i) Awe raia wa Tanzania;
(ii) Awe Mjumbe wa Umoja;
(iii) Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote;
(iv) Awe na uzoefu wa kutosha wa kuweza kushughulikia kazi bila ya usimamizi wa karibu;
(v) Awe muadilifu na mkweli;
(vi) Awe na uwezo wa kutenda haki na kufuata Sheria za Uchaguzi.
Nafasi za Kazi INEC – NEC August 2024
AJIRA MPYA NEC AGOSTI 2024 Msimamizi wa Uchaguzi (Ngazi ya Mkoa au Ngazi ya Juu ya Wilaya) Majukumu: (i) Kuratibu shughuli za usajili wa Uchaguzi; (ii) Kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na kuhakikisha taarifa zao zimeandikishwa ipasavyo katika daftari la wapiga kura; (iii) Kutoa kibali kwa MwandRead more
AJIRA MPYA NEC AGOSTI 2024
Msimamizi wa Uchaguzi (Ngazi ya Mkoa au Ngazi ya Juu ya Wilaya)
Majukumu:
(i) Kuratibu shughuli za usajili wa Uchaguzi;
(ii) Kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na kuhakikisha taarifa zao zimeandikishwa ipasavyo katika daftari la wapiga kura;
(iii) Kutoa kibali kwa Mwandikishaji wa Uchaguzi katika Wilaya na Majimbo;
(iv) Kutekeleza taratibu zinazohusiana na Uchaguzi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni;
(v) Kusimamia utekelezaji wa taratibu za Uchaguzi kwa Maafisa Wasaidizi na Wanauchaguzi wa Wilaya/Mkoa.
Sifa za Msimamizi wa Uchaguzi:
See less(i) Awe raia wa Tanzania;
(ii) Awe Mjumbe wa Umoja;
(iii) Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote;
(iv) Awe na uzoefu wa kutosha wa kuweza kushughulikia kazi bila ya usimamizi wa karibu;
(v) Awe muadilifu na mkweli;
(vi) Awe na uwezo wa kutenda haki na kufuata Sheria za Uchaguzi.
Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024
ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA UTUMISHI AGOSTI 2024 1. Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. 2. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili. 3. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wanatakiwa kufika na Hati za UhaRead more
ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA UTUMISHI AGOSTI 2024
1. Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
See less2. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
3. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wanatakiwa kufika na Hati za Uhakiki wa Vyeti vyao kutoka kwa Mamlaka zinazohusika (kama TCU, NACTE au NECTA)
4. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
5. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
6. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
7. Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa kwa sasa, hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.