Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA - UTUMISHI (PSRS) 1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. 2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU. 3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwRead more
KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA – UTUMISHI (PSRS)
1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
See less2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU.
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL), kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
5. Wasailiwa watakaowasilisha (Testimonials, Provisional Results, Statement of results) hati za matokeo HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Sumbawanga – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA SUMBAWANGA 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya SuRead more
AJIRA MPYA SUMBAWANGA 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga,
S.L.P 229,
SUMBAWANGA
Nafasi za Kazi Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC 2024 - NAFASI ZA KAZI UTUMISHI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024; KUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kRead more
AJIRA MPYA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC 2024 – NAFASI ZA KAZI UTUMISHI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024;
See lessKUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kwa
Tovuti ya PSRS, Bonyeza ‘Portal ya Kuajiri’)
Nafasi za Kazi Utumishi (PSRS) – Ajira 224 Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA UTUMISHI (PSRS) - TAASISI MBALIMBALI 2024 AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024; KUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kwa Tovuti ya PSRS,Read more
AJIRA MPYA UTUMISHI (PSRS) – TAASISI MBALIMBALI 2024 AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024;
KUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kwa
See lessTovuti ya PSRS, Bonyeza ‘Portal ya Kuajiri’)
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024 / 2025 – Fixtures Timu Zote 16
RATIBA YA LIGI KUU YA NBC MSIMU WA 2024/2025 MECHI ZA SIMBA NA YANGA Ratiba hii inaonyesha kuwa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 imepangwa kwa umakini ili kutoa fursa kwa kila timu kushindana ipasavyo. Mechi zimepangiliwa katika maeneo mbalimbali nchini, na tarehe zimepangwa kwa kuzingatia kalenda ya sokaRead more
RATIBA YA LIGI KUU YA NBC MSIMU WA 2024/2025 MECHI ZA SIMBA NA YANGA
Ratiba hii inaonyesha kuwa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 imepangwa kwa umakini ili kutoa fursa kwa kila timu kushindana ipasavyo. Mechi zimepangiliwa katika maeneo mbalimbali nchini, na tarehe zimepangwa kwa kuzingatia kalenda ya soka ya kimataifa. Pia, kuna nafasi kwa mechi za kufuzu za AFCON na michuano ya CAF kuratibiwa katikati ya ratiba ya ligi.
See lessRatiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024 / 2025 – Fixtures Timu Zote 16
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league) Ratiba ya Katikati ya Msimu (Rounds 7-12): Round 7-8: Mechi za raundi hizi zitafanyika kati ya tarehe 1 na 6 Oktoba 2024, zikifuatiwa na mechi nyingine kuanzia tarehe 18 hadi 27 Oktoba 2024. Round 9-10: Mechi zitaendelea kati ya tareheRead more
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
Ratiba ya Katikati ya Msimu (Rounds 7-12):
Round 7-8: Mechi za raundi hizi zitafanyika kati ya tarehe 1 na 6 Oktoba 2024, zikifuatiwa na mechi nyingine kuanzia tarehe 18 hadi 27 Oktoba 2024.
See lessRound 9-10: Mechi zitaendelea kati ya tarehe 1 na 10 Novemba 2024. Timu zote zitaendelea kupambana kwa ajili ya kutafuta alama muhimu.
Round 11-12: Mechi hizi zitaanza tarehe 8 hadi 24 Novemba 2024, na kuhitimisha hatua muhimu ya msimu kabla ya mapumziko mafupi kwa timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa na majukumu mengine.
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024 / 2025 – Fixtures Timu Zote 16
NBC RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA 2024/2025 Ratiba ya Awali (Rounds 1-6): Round 1: Mechi za kwanza zitaanza tarehe 16 na 17 Agosti 2024. Timu kama Pamba Jiji, Namungo FC, na Simba SC zitakuwa wenyeji wa mechi hizo. Round 2: Mechi zitaendelea kati ya tarehe 23 na 25 Agosti 2024, huku timu kubwa kaRead more
NBC RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA 2024/2025
Ratiba ya Awali (Rounds 1-6):
Round 1: Mechi za kwanza zitaanza tarehe 16 na 17 Agosti 2024. Timu kama Pamba Jiji, Namungo FC, na Simba SC zitakuwa wenyeji wa mechi hizo.
See lessRound 2: Mechi zitaendelea kati ya tarehe 23 na 25 Agosti 2024, huku timu kubwa kama Simba SC na Young Africans zikishiriki.
Round 3-4: Mechi za raundi hizi zitachezwa kati ya tarehe 29 Agosti hadi 16 Septemba 2024, zikihusisha timu zote zinazoshiriki ligi.
Round 5-6: Mechi hizi zitafanyika kati ya tarehe 20 na 30 Septemba 2024.
Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya 2024/2025
Aidha, mwombaji atatakiwa awe ameambatisha nakala halisi za nyaraka zifuatazo wakati wa kufanya maombi ya ufadhili wa kujiendeleza kada ya Afya 2024/2025: - a. Barua ya ruhusa kwenda masomoni kutoka kwa mwajiri wake. b. Barua ya udahili kutoka chuoni. c. Cheti cha taaluma cha sasa (current academicRead more
Aidha, mwombaji atatakiwa awe ameambatisha nakala halisi za nyaraka zifuatazo wakati wa kufanya maombi ya ufadhili wa kujiendeleza kada ya Afya 2024/2025: –
a. Barua ya ruhusa kwenda masomoni kutoka kwa mwajiri wake.
b. Barua ya udahili kutoka chuoni.
c. Cheti cha taaluma cha sasa (current academic qualification).
d. Cheti cha usajili na leseni hai kutoka kwenye Baraza la taaluma husika.
e. Cheti cha kuzaliwa.
f. Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
Maombi yote yawasilishwe kwa kutumia ‘link’ ifuatayo: https://esponsorship.moh.go.tz/
MUHIMU: Kama ilivyoelekezwa hapo juu, mwisho wa kupokea maombi haya ni tarehe
See less31/08/2024.
Imetolewa na: –
KATIBU MKUU,
WIZARA YA AFYA,
Mji wa Serikali Mtumba,
Barabara ya Afya,
S.L.P 743,
40478 DODOMA.
09/08/2024
Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya 2024/2025
Vigezo vitakavyotumika kuwapata watakaofadhiliwa Ufadhili wa watumishi kada za afya ni kama ifuatavyo: - 1. Kuwasilishwa kwa maombi rasmi ya ufadhili kwa njia ya mfumo (Post-graduate Sponsorship Online Application System). 2. Mwombaji awe ni Raia wa Tanzania. 3. Awe mtumishi wa Serikali. 4. Awe anaRead more
Vigezo vitakavyotumika kuwapata watakaofadhiliwa Ufadhili wa watumishi kada za afya ni kama ifuatavyo: –
1. Kuwasilishwa kwa maombi rasmi ya ufadhili kwa njia ya mfumo (Post-graduate Sponsorship Online Application System).
See less2. Mwombaji awe ni Raia wa Tanzania.
3. Awe mtumishi wa Serikali.
4. Awe ana barua ya udahili (admission letter) kutoka kwenye chuo kinachotambuliwa na Serikali ndani au nje ya nchi.
5. Awe anakwenda kusoma masomo ya ubingwa (specialization) au ubingwa bobezi (super-specialization).
6. Mwombaji awe ametimiza miaka mitatu tangu alipoajiriwa (barua ya ajira na kuthibitishwa kazini iambatishwe wakati wa maombi).
7. Ufadhili utazingatia uhitaji unaotokana na uhaba wa taaluma/fani anayokwenda kusoma mtumishi kwenye kituo husika. Kwa mantiki hiyo, kipaumbele cha kupata ufadhili itategemea upungufu wa taaluma aliyoomba kwenda kusoma kwenye kituo chake cha kazi.
Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya 2024/2025
UFADHILI WA WATUMISHI WA UMMA KADA YA AFYA 2024 - DKT SAMIA HEALTH SPECIALIZATION SCHOLARSHIP PROGRAM Wataalamu watakaopata ufadhili wa masomo kwa vyuo vya nje ya nchi watalipiwa ada ya mafunzo, posho ya kujikimu, nauli pamoja na posho ya utafiti. Wataalamu watakaopata ufadhili masomo katika vyuo vyRead more
UFADHILI WA WATUMISHI WA UMMA KADA YA AFYA 2024 – DKT SAMIA HEALTH SPECIALIZATION SCHOLARSHIP PROGRAM
Wataalamu watakaopata ufadhili wa masomo kwa vyuo vya nje ya nchi watalipiwa ada ya mafunzo, posho ya kujikimu, nauli pamoja na posho ya utafiti. Wataalamu watakaopata ufadhili masomo katika vyuo vya ndani ya nchi watalipiwa ada ya mafunzo na posho ya utafiti pindi mtaalamu husika atapokuwa kwenye kipindi cha kufanya utafiti kama sehemu ya mafunzo yake. Malipo ya posho ya utafiti na posho ya kujikimu yatazingatia viwango vilivyopangwa na Wizara.
See less