Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Ngara – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA NGARA - NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 22 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya NgaraRead more
AJIRA MPYA NGARA – NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 22 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Ngara,
S.L.P 30,
NGARA.
Walioitwa kwenye Usaili INEC Sengerema – NEC 2024
WALIOITWA KWENYE USAILI NEC - AGOST 2024 Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi (NEC) 2024 KUMBUKA: TUNAENDELEA KUONGEZA MAJINA KADRI TUNAVYOPOKEA, ENDELEA KUTEMBELEA HAPA KILA WAKATI. AU Tembelea tovuti ya jimbo lako au katika mbao za matangazo kuona majina mengine ya walioitwa kwenye usaili piaRead more
WALIOITWA KWENYE USAILI NEC – AGOST 2024
Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi (NEC) 2024
KUMBUKA: TUNAENDELEA KUONGEZA MAJINA KADRI TUNAVYOPOKEA, ENDELEA KUTEMBELEA HAPA KILA WAKATI.
See lessAU Tembelea tovuti ya jimbo lako au katika mbao za matangazo kuona majina mengine ya walioitwa kwenye usaili pia walioitwa kwenye mafunzo
Nafasi za Kazi Benki ya CRDB – PLC Agosti 2024
AJIRA MPYA CRDB BANK - NAFASI ZA BENKI 2024 Sifa Zinazohitajika Mwenye Digrii ya Chuo Kikuu/ Diploma ya Juu katika BA/ Akaunti/ Fedha/ Benki au taaluma inayohusiana nayo. Angalau miaka 2 ya uzoefu wa kufanya kazi katika Benki hasa katika Biashara ya Kadi Cheti kwenye Visa/ MasterCard/ UPI/ AMEX kitaRead more
AJIRA MPYA CRDB BANK – NAFASI ZA BENKI 2024
Sifa Zinazohitajika
Mwenye Digrii ya Chuo Kikuu/ Diploma ya Juu katika BA/ Akaunti/ Fedha/ Benki au taaluma inayohusiana nayo.
Angalau miaka 2 ya uzoefu wa kufanya kazi katika Benki hasa katika Biashara ya Kadi
Cheti kwenye Visa/ MasterCard/ UPI/ AMEX kitakuwa cha manufaa zaidi.
Maarifa ya Biashara ya Kadi ya Benki yaliyopatikana kutoka kwa Mipango ya Kadi.
Uwasilisho thabiti na ustadi wa mawasiliano wa maneno na maandishi ·
Ujuzi wa kupanga na shirika.
Mtumiaji mahiri wa PowerPoint, Excel, na zana za upatanisho.
See lessNafasi za Kazi TotalEnergies – Agosti 2024
AJIRA MPYA TOTALENERGIES TANZANIA AGOSTI 2024 Mahali pa kazi: DAR ES SALAAM-HAILE SELASSIE RD(TZA) Kampuni mwajiri: TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Aina ya mkataba: Msimamo wa kawaida Uzoefu: Kiwango cha chini cha miaka 6
AJIRA MPYA TOTALENERGIES TANZANIA AGOSTI 2024
Mahali pa kazi: DAR ES SALAAM-HAILE SELASSIE RD(TZA)
See lessKampuni mwajiri: TotalEnergies Marketing Tanzania Limited
Aina ya mkataba: Msimamo wa kawaida
Uzoefu: Kiwango cha chini cha miaka 6
Nafasi za Kazi Wilaya Nzega – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA NZEGA 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI UTUMISHI Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri yaRead more
AJIRA MPYA NZEGA 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI UTUMISHI
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 16 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Nzega,
S.L.P 4,
NZEGA-TABORA
Kikosi cha YANGA Kinachoanza Leo Dhidi ya SIMBA Mechi ya Nusu Fainali Ngao ya Jamii Agosti 2024
KIKOSI CHA YANGA SC LEO VS SIMBA SC - NGAO YA JAMII 8/8/2024 ⚽️ Young Africans SC🆚Simba SC 📆 08.08.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 7:00PM Matokeo ya yanga vs simba ngao ya jamii.
KIKOSI CHA YANGA SC LEO VS SIMBA SC – NGAO YA JAMII 8/8/2024
⚽️ Young Africans SC🆚Simba SC
📆 08.08.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 7:00PM
Matokeo ya yanga vs simba ngao ya jamii.
See lessKikosi cha SIMBA SC leo VS Yanga SC Ngao ya Jamii 8 Agosti 2024 – Kitakachoanza
MATOKEO YA SIMBA VS YANGA LEO NGAO YA JAMII 8//8/2024 Tunategemea matokeo mazuri kutoka kwa SIMBA vs YANGA leo ambapo mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Nusu FainRead more
MATOKEO YA SIMBA VS YANGA LEO NGAO YA JAMII 8//8/2024
Tunategemea matokeo mazuri kutoka kwa SIMBA vs YANGA leo ambapo mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Leo saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuikabili Yanga kwenye mchezo wa Nusu Fainali Ngao ya Jamii.
See lessKikosi cha SIMBA SC leo VS Yanga SC Ngao ya Jamii 8 Agosti 2024 – Kitakachoanza
KIKOSI CHA SIMBA LEO NGAO YA JAMII VS YANGA 2024 KWA MKAPA Akisema "Agosti 14 mwaka jana tuliitwaa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penati katika mchezo uliopigwa Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga". Zimbwe Jr aongea kwa niaba ya wachezaji.. Nahodha wa timu, Mohamed Hussein ‘ZiRead more
KIKOSI CHA SIMBA LEO NGAO YA JAMII VS YANGA 2024 KWA MKAPA
Akisema “Agosti 14 mwaka jana tuliitwaa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penati katika mchezo uliopigwa Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga”.
Zimbwe Jr aongea kwa niaba ya wachezaji..
Nahodha wa timu, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amesema wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo na watafanyia kazi maagizo watayopewa na walimu.
Tunawatakiwa SIMBA SC matokeo mazuri yenye ushindi wa magoli mengi..
See lessNafasi za Kazi Wilaya ya Uyui – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA UYUI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI UTUMISHI Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya WiRead more
AJIRA MPYA UYUI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI UTUMISHI
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Uyui,
S.L.P 610
TABORA
Nafasi za Kazi Wilaya ya Mlele – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA MLELE 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 14 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazii liyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwekwa:- Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Mlele S.LRead more
AJIRA MPYA MLELE 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 14 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazii liyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwekwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Mlele
S.L.P 686,
Mpanda – Katavi.