Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Malinyi – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA MALINYI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 19 Agosti, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, Anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya MalinyiRead more
AJIRA MPYA MALINYI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 19 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, Anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Malinyi,
S. L. P 18,
MALINYI
NECTA Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024-25 CSEE Tanzania
RATIBA YA KIDATO CHA NNE 2024 - FORM FOUR 2024/2025 Unatakiwa kuhudhuria kwa wakati kwa wakati ulioonyeshwa kwenye ratiba yako. Ukichelewa kufika kwa zaidi ya nusu saa kwa uchunguzi, hutaruhusiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani Unaweza kuleta kwenye chumba cha mtihani tu vifaa ambavyo vinaruhusiwaRead more
RATIBA YA KIDATO CHA NNE 2024 – FORM FOUR 2024/2025
Unatakiwa kuhudhuria kwa wakati kwa wakati ulioonyeshwa kwenye ratiba yako. Ukichelewa kufika kwa zaidi ya nusu saa kwa uchunguzi, hutaruhusiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani
Unaweza kuleta kwenye chumba cha mtihani tu vifaa ambavyo vinaruhusiwa mahususi. Iwapo unashukiwa kudanganya au kujaribu kudanganya, au kusaidia mtu mwingine kudanganya, unaweza kutokana na hayo kunyimwa sifa za mtihani na kutengwa katika mitihani yote ya baadaye ya Baraza. Vidokezo vyovyote au nyenzo nyingine zisizoidhinishwa zinazopatikana kwenye chumba cha mtihani zinaweza kubakizwa na Baraza kwa hiari yake.
See lessNECTA Fomati ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Darasa la Saba 2024 PSLE
FOMATI YA DARASA LA SABA NECTA - KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2024 Fomati za mtihani zimeandaliwa kwa kufuata muundo wa sehemu tano ambazo ni Utangulizi, Malengo ya Jumla, Umahiri Mkuu, Muundo wa Mtihani na Umahiri utakaotahiniwa kwa kila somo. Aidha, Jedwali la utahini limewekwa mwishoni mwa fomati yaRead more
FOMATI YA DARASA LA SABA NECTA – KUMALIZA ELIMU YA MSINGI 2024
Fomati za mtihani zimeandaliwa kwa kufuata muundo wa sehemu tano ambazo ni Utangulizi, Malengo ya Jumla, Umahiri Mkuu, Muundo wa Mtihani na Umahiri utakaotahiniwa kwa kila somo. Aidha, Jedwali la utahini limewekwa mwishoni mwa fomati ya kila somo na linaonesha umahiri utakaopimwa, ngazi za nyanja ya utambuzi, idadi ya vipengele vya maswali kwa kila umahiri mahususi na asilimia ya uzito kwa kila umahiri.
Kwa ujumla, kitabu hiki cha fomati kinatoa mwongozo kwa watunzi wa mitihani, warekebishaji wa maswali ya mtihani na walimu wa shule za msingi katika kuandaa mitihani inayozingatia haki, uhalali na viwango. Baraza linasisitiza umahiri wote katika masomo yote yanayofundishwa katika ngazi ya elimu ya msingi ufundishwe kwa kuzingatia mihtasari ya masomo husika. Fomati hii ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kwa namna yoyote ile isitumike kama mbadala wa mihtasari ya masomo husika. Baraza la Mitihani linatambua na kuthamini mchango wa watu wote walioshiriki katika kufanya maboresho ya kitabu hiki cha fomati.
See lessNafasi za kazi USAID Tanzania – Agosti 2024
AJIRA MPYA USAID TANZANIA KWA MWEZI AGOSTI 2024 Serikali ya Marekani, ikiwakilishwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), inatafuta ofa/maombi kutoka kwa watu waliohitimu ili kutoa huduma za kibinafsi chini ya mkataba kama ilivyoelezwa katika ombi hili. Nafasi hii iko katika USAIRead more
AJIRA MPYA USAID TANZANIA KWA MWEZI AGOSTI 2024
Serikali ya Marekani, ikiwakilishwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), inatafuta ofa/maombi kutoka kwa watu waliohitimu ili kutoa huduma za kibinafsi chini ya mkataba kama ilivyoelezwa katika ombi hili. Nafasi hii iko katika USAID/Ofisi ya Usimamizi wa Fedha Tanzania.
Waombaji lazima wawe kwa mujibu wa Kiambatisho 1 cha ombi hili. Ofa ambazo hazijakamilika au ambazo hazijasainiwa hazitazingatiwa. Watoa huduma wanapaswa kuhifadhi nakala za nyenzo zote za ofa kwa rekodi zao.
See lessNafasi za kazi Mji Tunduma – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA TUNDUMA 2024 - AGOSTI UTUMISHI Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni Daraja ‘E’ au ‘C’ ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua Mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving CoursRead more
AJIRA MPYA TUNDUMA 2024 – AGOSTI UTUMISHI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni Daraja ‘E’ au ‘C’ ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua Mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 19/08/2024.
Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi wa Mji,
See lessHalmashauri ya Mji Tunduma,
S.L.P. 73,
TUNDUMA
Matokeo ya usaili wa Shirika la Mizinga – Utumishi Agosti 2024
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA MZINGA ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024 94.00 SELECTED 80.00 NOT SELECTED
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA MZINGA ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024
94.00 SELECTED
See less80.00 NOT SELECTED
Matokeo ya usaili wa kuandika TANAPA – Utumishi Agosti 2024
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024 85.00 SELECTED 72.00 NOT SELECTED
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024
85.00 SELECTED
See less72.00 NOT SELECTED
Nafasi za kazi Wilaya ya Simanjiro – Utumishi Agosti 2024
Ajira Mpya Simanjiro Agosti 2024 Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, S.L.Read more
Ajira Mpya Simanjiro Agosti 2024
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji (W),
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Simanjiro,
S.L.P 9596,
ORKESUMET.
Nafasi za kazi Wilaya ya Nzega – Utumishi Agosti 2024
Ajira Mpya Nzega Agosti 2024 Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, S.L.P 4, NZEGA-TRead more
Ajira Mpya Nzega Agosti 2024
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Nzega,
S.L.P 4,
NZEGA-TABORA
Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Ilemela 2024
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC ILEMELA 2024 Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili. Mkurugenzi wa Manispaa, 200 Barabara ya Buswelu, 33322 Buswelu, S.L.P 735, Ilemela - Mwanza. Simu: + 255 (28) 2981109, Nukushi: + 255 (28) 2981108, Barua pepe: mlemela@pmoralg.go.tz
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC ILEMELA 2024
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.
Mkurugenzi wa Manispaa, 200 Barabara ya Buswelu, 33322 Buswelu, S.L.P 735, Ilemela – Mwanza. Simu: + 255 (28) 2981109, Nukushi: + 255 (28) 2981108, Barua pepe: mlemela@pmoralg.go.tz
See less