Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za kazi Wilaya ya Rungwe – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Rungwe 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti, 2024 .MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE S. L. P 148 RUNGWE
Ajira Mpya Rungwe 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti, 2024
.MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE
S. L. P 148
RUNGWE
Nafasi za Kazi Wilaya ya Iramba – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Iramba 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 8 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya Iramba, S.L.P. 355, Kiomboi-Iramba.
Ajira Mpya Iramba 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 8 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya Iramba,
S.L.P. 355,
Kiomboi-Iramba.
Ajira Mpya Jiji la Tanga – Utumishi Julai 2024
Nafasi za kazi Jiji la Tanga 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi wa Jiji, Halmashauri ya Jiji la Tanga, S.L.P 178, TANGA
Nafasi za kazi Jiji la Tanga 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024.
See lessMUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
–
Mkurugenzi wa Jiji,
Halmashauri ya Jiji la Tanga,
S.L.P 178,
TANGA
VIDEO | Komasava Remix – Diamond Platnumz x Jason Derulo ft Khalil Harisson & Chley
Remix ya "Komasava" ni ushahidi wa ubunifu na uwezo wa Diamond Platnumz kama msanii. Wimbo huu una sehemu za kuvutia na korasi yenye nguvu ambayo hakika itawavutia wasikilizaji. Katika upekee wa kipekee, Diamond Platnumz anatumia wimbo huu kuwasalimu watu kwa lugha saba tofauti, akisisitiza umoja naRead more
Remix ya “Komasava” ni ushahidi wa ubunifu na uwezo wa Diamond Platnumz kama msanii. Wimbo huu una sehemu za kuvutia na korasi yenye nguvu ambayo hakika itawavutia wasikilizaji. Katika upekee wa kipekee, Diamond Platnumz anatumia wimbo huu kuwasalimu watu kwa lugha saba tofauti, akisisitiza umoja na utofauti wa kitamaduni. Sauti za nguvu za Jason Derulo zinaongeza mvuto wa kimataifa, na kufanya “Komasava Remix” kuwa hiti la kweli duniani. Kwa mdundo wake wa juu na ala zenye nguvu, “Komasava” inaonekana kuwa wimbo wa msimu wa joto.
See lessAjira Mpya Wilaya ya Songwe – Utumishi Julai 2024
Nafasi za kazi Songwe 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, S.L.P 77 MKWAJUNI SONGWE.
Nafasi za kazi Songwe 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024.
See lessMUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Songwe,
S.L.P 77
MKWAJUNI SONGWE.
Ajira Mpya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) – Utumishi Julai 2024
Tangazo la nafasi za kazi Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) JULY 2024 A. Waombaji wanapaswa kuonyesha nafasi ambazo wanaomba. B. Waombaji lazima wapitishe barua zao za maombi kupitia zao waajiri husika. C. Vyeti kutoka Vyuo Vikuu vya nje vinapaswa kuthibitishwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)Read more
Tangazo la nafasi za kazi Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) JULY 2024
A. Waombaji wanapaswa kuonyesha nafasi ambazo wanaomba.
See lessB. Waombaji lazima wapitishe barua zao za maombi kupitia zao
waajiri husika.
C. Vyeti kutoka Vyuo Vikuu vya nje vinapaswa kuthibitishwa na
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU).
D. Vyeti kutoka kwa mashirika ya mitihani ya kigeni kwa Kawaida au Elimu ya ngazi ya juu inapaswa kuthibitishwa na Taifa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
E. Uwasilishaji wa vyeti vya kughushi na taarifa nyingine za uongo itasababisha kutostahiki kiotomatiki na kuchukuliwa hatua za kisheria.
F. Wagombea waliofaulu pekee ndio watawasiliana nao.
G. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 3/8/2024
Ajira Mpya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) – Utumishi Julai 2024
Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) 2024 Waombaji wanaotaka wawasilishe barua zao za maombi zilizotiwa saini zinazoambatanisha na wasifu wa kina, nakala za kuzaliwa na vyeti husika vya kitaaluma, anwani za mawasiliano (pamoja na namba za simu na barua pepe) na majina yenye anwani za wRead more
Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) 2024
See lessWaombaji wanaotaka wawasilishe barua zao za maombi zilizotiwa saini zinazoambatanisha na wasifu wa kina, nakala za kuzaliwa na vyeti husika vya kitaaluma, anwani za mawasiliano (pamoja na namba za simu na barua pepe) na majina yenye anwani za waamuzi watatu kwa Mkurugenzi Mkuu, Shirika la Maendeleo la Taifa, P.O. Box 2669, Dar es Salaam.
Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025
Huu mwongozo unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu Tanzania AINA YA MAFUNZO (KOZI) Stashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi katika masomo ya Sayansi na Hisabati (Miaka 03) VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO: Monduli, Butimba, Klerruu, Songea, Tukuyu, Kasulu, Mpwapwa, Morogoro, Korogwe naTabora.
Huu mwongozo unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu Tanzania
AINA YA MAFUNZO (KOZI)
See lessStashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi katika masomo ya Sayansi na Hisabati (Miaka 03)
VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO: Monduli, Butimba, Klerruu, Songea, Tukuyu, Kasulu, Mpwapwa, Morogoro, Korogwe naTabora.
Jinsi ya Kutuma Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024/2025 – MOEST TCMS
Mfumo wa maombi ya mafunzo ya Ualimu 2024 Karibu kwenye Tovuti ya Wanafunzi ya TCMS. Kupitia tovuti hii utaweza kuomba kudahiliwa katika kozi mbalimbali zinazotolewa na Vyuo vya Ualimu, Kujiandikisha kwa ajili ya masomo katika kila muhula, Kuangalia matokeo ya mitihani na huduma nyinginezo binafsi.Read more
Mfumo wa maombi ya mafunzo ya Ualimu 2024
Karibu kwenye Tovuti ya Wanafunzi ya TCMS. Kupitia tovuti hii utaweza kuomba kudahiliwa katika kozi mbalimbali zinazotolewa na Vyuo vya Ualimu, Kujiandikisha kwa ajili ya masomo katika kila muhula, Kuangalia matokeo ya mitihani na huduma nyinginezo binafsi.
Uchunguzi
See lessKwa uchunguzi wowote wa kutumia mfumo au mchakato wa udahili piga 0737 962 965 au tuma barua pepe kwa info@moe.go.tz
Nafasi za Mafunzo ya Ualimu 2024/2025 – Wizara ya Elimu Tanzania
AINA YA MAFUNZO NA VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO YA UALIMU 2024 Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi mchepuo wa Sayansi ya Jamii (kwa kutumia lugha ya kiswahili) - Mhonda, Murutunguru na Vikindu Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi mchepuo wa Sayansi ya Jamii (kwa kutumia lugha ya kingereza) - Mpuguso naRead more
AINA YA MAFUNZO NA VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO YA UALIMU 2024
Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi mchepuo wa Sayansi ya Jamii (kwa kutumia lugha ya kiswahili) – Mhonda, Murutunguru na Vikindu
See lessStashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi mchepuo wa Sayansi ya Jamii (kwa kutumia lugha ya kingereza) – Mpuguso na Shinyanga
Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi mchepuo wa Sayansi ya jamii na lugha ya kiswahili (kwa kutumia lugha ya kiswahili). – Bunda naTandala