Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus

Erick

Ask Erick
1k Visits
6 Followers
173 Questions
Home/ Erick/Best Answers
Matangazo ya kazi Ajira Portal
  • About
  • Questions
  • Polls
  • Answers
  • Best Answers
  • Asked Questions
  • Groups
  • Joined Groups
  • Managed Groups
  1. Asked: May 9, 2025In: Usaili

    Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 – Tanzania TPF

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 23, 2024 at 5:58 am

    KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI TANZANIA 2024. Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne na sita usaili wao utafanyika kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

    KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI TANZANIA 2024.

    Waombaji wenye elimu ya kidato cha nne na sita usaili wao utafanyika kwenye
    mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

    See less
    • -49
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  2. Asked: July 22, 2024In: Ajira

    Nafasi za kazi Wilaya ya Mkalama – Utumishi Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 22, 2024 at 2:00 pm

    Ajira Mpya Mlkalama 2024 - Nafasi za Halmashauri. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya wilaya, S.L.P 1007 SRead more

    Ajira Mpya Mlkalama 2024 – Nafasi za Halmashauri.

    Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 02 Agosti, 2024.
    MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –

    Mkurugenzi Mtendaji,
    Halmashauri ya wilaya,
    S.L.P 1007
    SINGIDA – MKALAMA.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  3. Asked: July 21, 2024In: Ajira

    Nafasi za Kazi Ukerewe – Utumishi Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 21, 2024 at 5:10 pm

    Ajira Mpya Ukerewe - Nafasi za Halmashauri Julai 2024. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Julai, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya UkeRead more

    Ajira Mpya Ukerewe – Nafasi za Halmashauri Julai 2024.

    Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 26 Julai, 2024.
    MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
    pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-

    Mkurugenzi Mtendaji (W),
    Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe,
    S. L.P. 41,
    NANSIO/UKEREWE

    See less
    • 1
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  4. Asked: July 21, 2024In: Ajira

    TANGAZO la Walioitwa kwenye Usaili NEC (INEC) – Nyang’hwale Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 21, 2024 at 4:30 pm

    Orodha ya Majina ya kuitwa kwenye USAILI NEC. Yatawekwa kwenye mbao za matangazo jimboni kwako au tembelea tovuti husika ya NEC/INEC

    Orodha ya Majina ya kuitwa kwenye USAILI NEC.

    Yatawekwa kwenye mbao za matangazo jimboni kwako au tembelea tovuti husika ya NEC/INEC

    See less
    • -2
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  5. Asked: July 21, 2024In: Ajira

    Nafasi za Kazi Cartrack – Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 21, 2024 at 3:20 pm

    AJIRA MPYA Cartrack JULAI 2024. Soma maelezo kwa makini kuweza kupata ajira.

    AJIRA MPYA Cartrack JULAI 2024.

    Soma maelezo kwa makini kuweza kupata ajira.

    See less
    • -4
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  6. Asked: July 21, 2024In: Ajira

    Nafasi za Kazi Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC – Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 21, 2024 at 11:50 am

    AJIRA MPYA BENKI YA MKOMBOZI 2024. Sifa na Ujuzi Unaohitajika: Shahada ya Biashara, Fedha, Usimamizi au fani nyingine zinazohusiana. Uzoefu wa miaka mitatu (3) au zaidi katika nafasi ya usimamizi wa tawi la benki au sehemu nyingine inayofanana. Uwezo wa kuongoza na kusimamia timu kwa ufanisi. UjuziRead more

    AJIRA MPYA BENKI YA MKOMBOZI 2024.

    Sifa na Ujuzi Unaohitajika:

    Shahada ya Biashara, Fedha, Usimamizi au fani nyingine zinazohusiana.
    Uzoefu wa miaka mitatu (3) au zaidi katika nafasi ya usimamizi wa tawi la benki au sehemu nyingine inayofanana.
    Uwezo wa kuongoza na kusimamia timu kwa ufanisi.
    Ujuzi mzuri wa mawasiliano na huduma kwa wateja.
    Uelewa mzuri wa bidhaa na huduma za kifedha.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  7. Asked: July 21, 2024In: Ajira

    Nafasi za kazi Nyasa – Utumishi Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 21, 2024 at 11:07 am

    AJIRA MPYA NYASA - NAFASI ZA HALMASHAURI 2024. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa 2 Barabara ya NyeRead more

    AJIRA MPYA NYASA – NAFASI ZA HALMASHAURI 2024.

    Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02/08/2024
    MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
    pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –

    Mkurugenzi Mtendaji (W),
    Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    2 Barabara ya Nyerere
    S.L.P. 90,
    Mbamba Bay,
    57582 Nyasa – Ruvuma

    See less
    • -2
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  8. Asked: July 21, 2024In: Ajira

    Nafasi za kazi Wilaya ya Ngorongoro – Utumishi Julai 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 21, 2024 at 10:28 am

    AJIRA MPYA NGORONGORO KUTOKA UTUMISHI. Nafasi za Halmashauri serikalini 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- Mkurugenzi Mtendaji, HalmashauRead more

    AJIRA MPYA NGORONGORO KUTOKA UTUMISHI.

    Nafasi za Halmashauri serikalini 2024
    Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 01 Agosti, 2024.
    MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
    pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-

    Mkurugenzi Mtendaji,
    Halmashauri ya Wilaya Ngorongoro,
    P. O. Box 1,
    LOLIONDO – NGORONGORO.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  9. Asked: July 20, 2024In: Ajira

    Ajira Mpya za Walimu Julai 2024 – Mfumo wa Maombi ya Ajira za Ualimu

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 20, 2024 at 10:22 pm

    Maombi ya Kazi ya Ualimu: CV nzuri na mifano ya Barua. Barua ya Maombi ya Kazi ya Ualimu: Zingatia tangazo husika linasemaje pia anuani kuweka sahihi yako uliyo isaini kwa mkono. Mfano wa CV ya maombi ya kazi ya Ualimu: Zingatia uandishi mzuri kwa kufata mwongozo uliotolewa ili kujihepusha kukosa kaRead more

    Maombi ya Kazi ya Ualimu: CV nzuri na mifano ya Barua.

    Barua ya Maombi ya Kazi ya Ualimu: Zingatia tangazo husika linasemaje pia anuani kuweka sahihi yako uliyo isaini kwa mkono.
    Mfano wa CV ya maombi ya kazi ya Ualimu: Zingatia uandishi mzuri kwa kufata mwongozo uliotolewa ili kujihepusha kukosa kazi au kukosa kutoitwa kazini au kwenye usaili.

    See less
    • -3
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
  10. Asked: July 20, 2024In: Ajira

    Jinsi Ya Kutuma Maombi Ajira Za Walimu (Ualimu) Utumishi – Ajira Portal 2024

    Erick
    Erick
    Added an answer on July 20, 2024 at 9:38 pm

    Mfumo wa Ajira za Ualimu Ajira Portal Utumishi 2024. Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu: - Chagua ngazi yako ya Elimu - Chagua nchi uliyosoma. - Chagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu. - Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lRead more

    Mfumo wa Ajira za Ualimu Ajira Portal Utumishi 2024.

    Jaza taarifa zote muhimu kwa kuzingatia mpangilio huu:
    – Chagua ngazi yako ya Elimu
    – Chagua nchi uliyosoma.
    – Chagua fani sahihi kulingana na taaluma yako ili uweze jina sahihi la fani yako uliyohitimu.
    – Chagua fani uliyofuzu na inatakiwa jina lake lifanane na kilichoandikwa kwenye cheti chako cha kuhitimu ambacho unataka kukiambatisha kwenye mfumo, endapo hujapata jina linaloendana na kozi uliyomaliza huenda umechagua sehemu isiyo sahihi na taaluma yako, hivyo tafuta sehemu nyingine kwa kutumia jina la fani uliyofuzu kama ilivyoandikwa kwenye cheti chako.
    – Chagua au jaza jina la chuo na kama chuo ulichosoma hakipo andika jina kamili kwa kirefu, usitumie vifupisho havikubaliki.
    – Onyesha ulianza lini na ulihitimu lini.
    – Ambatisha nakala ya cheti kilichothibitishwa na mwanasheria na hakikisha cheti chako unachokiweka hakizidi 2MB.
    – Bonyeza sehemu ya hifadhi (save) ili taarifa na nyaraka zako ziweze kuhuishwa na kuhifadhiwa kwenye mfumo.

    See less
    • 0
    • Share
      Share
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Share on LinkedIn
      • Share on WhatsApp
1 … 8 9 10 11 12 … 15
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Sidebar

Ask A Question

Stats

  • Questions : 174
  • Answers : 270
  • Most visited
  • Answers
  • Erick

    Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

    • 2 Answers
  • Erick

    Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

    • 4 Answers
  • Erick

    Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

    • 4 Answers
  • Erick

    Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

    • 11 Answers
  • Erick

    Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

    • 15 Answers
  • Erick
    Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
  • Erick
    Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
  • Erick
    Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

Trending Tags

Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

Explore

Footer

© 2024 Habari Times. All Rights Reserved
Created by Habaritimes.