Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA JSC AGOSTI 2024 Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira watembelee Tovuti ya Tume ili kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa. Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili. Kwa maulizo zaidRead more
KUITWA KWENYE USAILI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA JSC AGOSTI 2024
Kwa taarifa hii, wote walioomba nafasi za ajira watembelee Tovuti ya Tume ili kuona kituo cha kufanyia usaili na muda uliopangwa. Kwa wale ambao hawataona majina yao, watambue kuwa hawakupata nafasi ya kufanya usaili. Kwa maulizo zaidi piga; simu Na 0734219821 au 0738247341 na Barua pepe: maulizo.ajira@jsc.go.tz
See lessNafasi za Kazi INEC – NEC August 2024
AJIRA MPYA NEC AGOSTI 2024 Msimamizi wa Uchaguzi (Ngazi ya Mkoa au Ngazi ya Juu ya Wilaya) Majukumu: (i) Kuratibu shughuli za usajili wa Uchaguzi; (ii) Kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na kuhakikisha taarifa zao zimeandikishwa ipasavyo katika daftari la wapiga kura; (iii) Kutoa kibali kwa MwandRead more
AJIRA MPYA NEC AGOSTI 2024
Msimamizi wa Uchaguzi (Ngazi ya Mkoa au Ngazi ya Juu ya Wilaya)
Majukumu:
(i) Kuratibu shughuli za usajili wa Uchaguzi;
(ii) Kusimamia uandikishaji wa wapiga kura na kuhakikisha taarifa zao zimeandikishwa ipasavyo katika daftari la wapiga kura;
(iii) Kutoa kibali kwa Mwandikishaji wa Uchaguzi katika Wilaya na Majimbo;
(iv) Kutekeleza taratibu zinazohusiana na Uchaguzi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni;
(v) Kusimamia utekelezaji wa taratibu za Uchaguzi kwa Maafisa Wasaidizi na Wanauchaguzi wa Wilaya/Mkoa.
Sifa za Msimamizi wa Uchaguzi:
See less(i) Awe raia wa Tanzania;
(ii) Awe Mjumbe wa Umoja;
(iii) Awe na Shahada au Stashahada ya Juu au Stashahada katika fani yoyote;
(iv) Awe na uzoefu wa kutosha wa kuweza kushughulikia kazi bila ya usimamizi wa karibu;
(v) Awe muadilifu na mkweli;
(vi) Awe na uwezo wa kutenda haki na kufuata Sheria za Uchaguzi.
Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA - UTUMISHI (PSRS) 1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. 2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU. 3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwRead more
KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA – UTUMISHI (PSRS)
1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
See less2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU.
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL), kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
5. Wasailiwa watakaowasilisha (Testimonials, Provisional Results, Statement of results) hati za matokeo HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Sumbawanga – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA SUMBAWANGA 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya SuRead more
AJIRA MPYA SUMBAWANGA 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga,
S.L.P 229,
SUMBAWANGA
Nafasi za Kazi Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC 2024 - NAFASI ZA KAZI UTUMISHI AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024; KUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kRead more
AJIRA MPYA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA NIC 2024 – NAFASI ZA KAZI UTUMISHI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024;
See lessKUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kwa
Tovuti ya PSRS, Bonyeza ‘Portal ya Kuajiri’)
Nafasi za Kazi Utumishi (PSRS) – Ajira 224 Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA UTUMISHI (PSRS) - TAASISI MBALIMBALI 2024 AGOSTI Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024; KUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kwa Tovuti ya PSRS,Read more
AJIRA MPYA UTUMISHI (PSRS) – TAASISI MBALIMBALI 2024 AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24 Agosti 2024;
KUMBUKA: Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana kwa
See lessTovuti ya PSRS, Bonyeza ‘Portal ya Kuajiri’)
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania kwa msimu wa 2024 / 2025 – Fixtures Timu Zote 16
NBC RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA 2024/2025 Ratiba ya Awali (Rounds 1-6): Round 1: Mechi za kwanza zitaanza tarehe 16 na 17 Agosti 2024. Timu kama Pamba Jiji, Namungo FC, na Simba SC zitakuwa wenyeji wa mechi hizo. Round 2: Mechi zitaendelea kati ya tarehe 23 na 25 Agosti 2024, huku timu kubwa kaRead more
NBC RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA 2024/2025
Ratiba ya Awali (Rounds 1-6):
Round 1: Mechi za kwanza zitaanza tarehe 16 na 17 Agosti 2024. Timu kama Pamba Jiji, Namungo FC, na Simba SC zitakuwa wenyeji wa mechi hizo.
See lessRound 2: Mechi zitaendelea kati ya tarehe 23 na 25 Agosti 2024, huku timu kubwa kama Simba SC na Young Africans zikishiriki.
Round 3-4: Mechi za raundi hizi zitachezwa kati ya tarehe 29 Agosti hadi 16 Septemba 2024, zikihusisha timu zote zinazoshiriki ligi.
Round 5-6: Mechi hizi zitafanyika kati ya tarehe 20 na 30 Septemba 2024.
Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya 2024/2025
Vigezo vitakavyotumika kuwapata watakaofadhiliwa Ufadhili wa watumishi kada za afya ni kama ifuatavyo: - 1. Kuwasilishwa kwa maombi rasmi ya ufadhili kwa njia ya mfumo (Post-graduate Sponsorship Online Application System). 2. Mwombaji awe ni Raia wa Tanzania. 3. Awe mtumishi wa Serikali. 4. Awe anaRead more
Vigezo vitakavyotumika kuwapata watakaofadhiliwa Ufadhili wa watumishi kada za afya ni kama ifuatavyo: –
1. Kuwasilishwa kwa maombi rasmi ya ufadhili kwa njia ya mfumo (Post-graduate Sponsorship Online Application System).
See less2. Mwombaji awe ni Raia wa Tanzania.
3. Awe mtumishi wa Serikali.
4. Awe ana barua ya udahili (admission letter) kutoka kwenye chuo kinachotambuliwa na Serikali ndani au nje ya nchi.
5. Awe anakwenda kusoma masomo ya ubingwa (specialization) au ubingwa bobezi (super-specialization).
6. Mwombaji awe ametimiza miaka mitatu tangu alipoajiriwa (barua ya ajira na kuthibitishwa kazini iambatishwe wakati wa maombi).
7. Ufadhili utazingatia uhitaji unaotokana na uhaba wa taaluma/fani anayokwenda kusoma mtumishi kwenye kituo husika. Kwa mantiki hiyo, kipaumbele cha kupata ufadhili itategemea upungufu wa taaluma aliyoomba kwenda kusoma kwenye kituo chake cha kazi.
Nafasi za Kazi Wilaya ya Ngara – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA NGARA - NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 22 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya NgaraRead more
AJIRA MPYA NGARA – NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 22 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Ngara,
S.L.P 30,
NGARA.
Walioitwa kwenye Usaili INEC Sengerema – NEC 2024
WALIOITWA KWENYE USAILI NEC - AGOST 2024 Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi (NEC) 2024 KUMBUKA: TUNAENDELEA KUONGEZA MAJINA KADRI TUNAVYOPOKEA, ENDELEA KUTEMBELEA HAPA KILA WAKATI. AU Tembelea tovuti ya jimbo lako au katika mbao za matangazo kuona majina mengine ya walioitwa kwenye usaili piaRead more
WALIOITWA KWENYE USAILI NEC – AGOST 2024
Walioitwa Kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi (NEC) 2024
KUMBUKA: TUNAENDELEA KUONGEZA MAJINA KADRI TUNAVYOPOKEA, ENDELEA KUTEMBELEA HAPA KILA WAKATI.
See lessAU Tembelea tovuti ya jimbo lako au katika mbao za matangazo kuona majina mengine ya walioitwa kwenye usaili pia walioitwa kwenye mafunzo