Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za kazi USAID Tanzania – Agosti 2024
AJIRA MPYA USAID TANZANIA KWA MWEZI AGOSTI 2024 Serikali ya Marekani, ikiwakilishwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), inatafuta ofa/maombi kutoka kwa watu waliohitimu ili kutoa huduma za kibinafsi chini ya mkataba kama ilivyoelezwa katika ombi hili. Nafasi hii iko katika USAIRead more
AJIRA MPYA USAID TANZANIA KWA MWEZI AGOSTI 2024
Serikali ya Marekani, ikiwakilishwa na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), inatafuta ofa/maombi kutoka kwa watu waliohitimu ili kutoa huduma za kibinafsi chini ya mkataba kama ilivyoelezwa katika ombi hili. Nafasi hii iko katika USAID/Ofisi ya Usimamizi wa Fedha Tanzania.
Waombaji lazima wawe kwa mujibu wa Kiambatisho 1 cha ombi hili. Ofa ambazo hazijakamilika au ambazo hazijasainiwa hazitazingatiwa. Watoa huduma wanapaswa kuhifadhi nakala za nyenzo zote za ofa kwa rekodi zao.
See lessNafasi za kazi Mji Tunduma – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA TUNDUMA 2024 - AGOSTI UTUMISHI Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni Daraja ‘E’ au ‘C’ ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua Mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving CoursRead more
AJIRA MPYA TUNDUMA 2024 – AGOSTI UTUMISHI
Kuajiriwa mwenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni Daraja ‘E’ au ‘C’ ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua Mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 19/08/2024.
Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi wa Mji,
See lessHalmashauri ya Mji Tunduma,
S.L.P. 73,
TUNDUMA
Matokeo ya usaili wa Shirika la Mizinga – Utumishi Agosti 2024
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA MZINGA ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024 94.00 SELECTED 80.00 NOT SELECTED
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA MZINGA ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024
94.00 SELECTED
See less80.00 NOT SELECTED
Matokeo ya usaili wa kuandika TANAPA – Utumishi Agosti 2024
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024 85.00 SELECTED 72.00 NOT SELECTED
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024
85.00 SELECTED
See less72.00 NOT SELECTED
Nafasi za kazi Wilaya ya Simanjiro – Utumishi Agosti 2024
Ajira Mpya Simanjiro Agosti 2024 Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, S.L.Read more
Ajira Mpya Simanjiro Agosti 2024
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji (W),
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Simanjiro,
S.L.P 9596,
ORKESUMET.
Nafasi za kazi Wilaya ya Nzega – Utumishi Agosti 2024
Ajira Mpya Nzega Agosti 2024 Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, S.L.P 4, NZEGA-TRead more
Ajira Mpya Nzega Agosti 2024
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 14 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya ya Nzega,
S.L.P 4,
NZEGA-TABORA
Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Ilemela 2024
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC ILEMELA 2024 Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili. Mkurugenzi wa Manispaa, 200 Barabara ya Buswelu, 33322 Buswelu, S.L.P 735, Ilemela - Mwanza. Simu: + 255 (28) 2981109, Nukushi: + 255 (28) 2981108, Barua pepe: mlemela@pmoralg.go.tz
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC ILEMELA 2024
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.
Mkurugenzi wa Manispaa, 200 Barabara ya Buswelu, 33322 Buswelu, S.L.P 735, Ilemela – Mwanza. Simu: + 255 (28) 2981109, Nukushi: + 255 (28) 2981108, Barua pepe: mlemela@pmoralg.go.tz
See lessWalioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Shinyanga Agosti 2024
KUITWA KWENYE USAILI INEC SHINYANGA Kama uliomba ajira katika kuandikisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania basi tafta jina lako hapa tiari majina yametoka ya wanao takiwa kwenda kufanya usaili.
KUITWA KWENYE USAILI INEC SHINYANGA
Kama uliomba ajira katika kuandikisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania basi tafta jina lako hapa tiari majina yametoka ya wanao takiwa kwenda kufanya usaili.
See lessNafasi za Kazi Mji Nanyamba – Utumishi Agosti 2024
Ajira Mpya Nanyamba 2024 Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/08/2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi wa Mji, HalRead more
Ajira Mpya Nanyamba 2024
Wakatakao kidhi Sifa zinazotakiwa ndio pekee watakaoitwa katika Usahili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi wa Mji,
See lessHalmashauri ya Mji Nanyamba,
S.L.P 1490,
NANYAMBA-MTWARA.
Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024
Ajira Mpya MDAs & LGAs 2024 - Nafasi za kazi Ajira Portal Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA KRead more
Ajira Mpya MDAs & LGAs 2024 – Nafasi za kazi Ajira Portal
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 16 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
KATIBU,
See lessOFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S. L. P. 2320, DODOMA.