Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Sifa za Mtendaji wa Kijiji Katika Ajira Utumishi ni zipi?
Mshahara wa Mtendaji wa Kijiji 2024/2025 Ni upi mshahara wa mtu ambae kasomea utendaji wa kijiji? Ngazi ya Mshahara ni TGS B yaani Tshs.450,000.00 kwa mwezi.
Mshahara wa Mtendaji wa Kijiji 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu ambae kasomea utendaji wa kijiji?
See lessNgazi ya Mshahara ni TGS B yaani Tshs.450,000.00 kwa mwezi.
INEC Walioitwa kwenye Mafunzo NEC – Julai 2024
NEC Kuitwa kwenye mafuzo INEC 2024 Orodha ya majina ya mikoa mingine inapatikana katika tovuti husika. hivyo tembelea ili kuona jina lako.
NEC Kuitwa kwenye mafuzo INEC 2024
Orodha ya majina ya mikoa mingine inapatikana katika tovuti husika. hivyo tembelea ili kuona jina lako.
See lessSekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2024
Nifanyeje Kutuma maombi ya Ajira za Ualimu 2024? Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment PoRead more
Nifanyeje Kutuma maombi ya Ajira za Ualimu 2024?
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment 45 Portal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz.= (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’) (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa‘Recruitment Portal’)
See lessNafasi za Kazi Wilaya ya Mtama – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Mtama 2024 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04 Agosti 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja nav yeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI HALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA S.L.P 328 MTAMA
Ajira Mpya Mtama 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 04 Agosti 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja nav yeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA MTAMA
S.L.P 328
MTAMA
Nafasi za kazi Wilaya ya Rungwe – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Rungwe 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti, 2024 .MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:- MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE S. L. P 148 RUNGWE
Ajira Mpya Rungwe 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 04 Agosti, 2024
.MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
MKURUGENZI MTENDAJI
See lessHALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE
S. L. P 148
RUNGWE
Nafasi za Kazi Wilaya ya Iramba – Utumishi Julai 2024
Ajira Mpya Iramba 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 8 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya Iramba, S.L.P. 355, Kiomboi-Iramba.
Ajira Mpya Iramba 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 8 Agosti, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji,
See lessHalmashauri ya Wilaya Iramba,
S.L.P. 355,
Kiomboi-Iramba.
Ajira Mpya Jiji la Tanga – Utumishi Julai 2024
Nafasi za kazi Jiji la Tanga 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: - Mkurugenzi wa Jiji, Halmashauri ya Jiji la Tanga, S.L.P 178, TANGA
Nafasi za kazi Jiji la Tanga 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024.
See lessMUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
–
Mkurugenzi wa Jiji,
Halmashauri ya Jiji la Tanga,
S.L.P 178,
TANGA
VIDEO | Komasava Remix – Diamond Platnumz x Jason Derulo ft Khalil Harisson & Chley
Remix ya "Komasava" ni ushahidi wa ubunifu na uwezo wa Diamond Platnumz kama msanii. Wimbo huu una sehemu za kuvutia na korasi yenye nguvu ambayo hakika itawavutia wasikilizaji. Katika upekee wa kipekee, Diamond Platnumz anatumia wimbo huu kuwasalimu watu kwa lugha saba tofauti, akisisitiza umoja naRead more
Remix ya “Komasava” ni ushahidi wa ubunifu na uwezo wa Diamond Platnumz kama msanii. Wimbo huu una sehemu za kuvutia na korasi yenye nguvu ambayo hakika itawavutia wasikilizaji. Katika upekee wa kipekee, Diamond Platnumz anatumia wimbo huu kuwasalimu watu kwa lugha saba tofauti, akisisitiza umoja na utofauti wa kitamaduni. Sauti za nguvu za Jason Derulo zinaongeza mvuto wa kimataifa, na kufanya “Komasava Remix” kuwa hiti la kweli duniani. Kwa mdundo wake wa juu na ala zenye nguvu, “Komasava” inaonekana kuwa wimbo wa msimu wa joto.
See lessAjira Mpya Wilaya ya Songwe – Utumishi Julai 2024
Nafasi za kazi Songwe 2024 Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa; Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Songwe, S.L.P 77 MKWAJUNI SONGWE.
Nafasi za kazi Songwe 2024
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 07 Agosti, 2024.
See lessMUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu. anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Songwe,
S.L.P 77
MKWAJUNI SONGWE.
Ajira Mpya Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) – Utumishi Julai 2024
Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) 2024 Waombaji wanaotaka wawasilishe barua zao za maombi zilizotiwa saini zinazoambatanisha na wasifu wa kina, nakala za kuzaliwa na vyeti husika vya kitaaluma, anwani za mawasiliano (pamoja na namba za simu na barua pepe) na majina yenye anwani za wRead more
Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) 2024
See lessWaombaji wanaotaka wawasilishe barua zao za maombi zilizotiwa saini zinazoambatanisha na wasifu wa kina, nakala za kuzaliwa na vyeti husika vya kitaaluma, anwani za mawasiliano (pamoja na namba za simu na barua pepe) na majina yenye anwani za waamuzi watatu kwa Mkurugenzi Mkuu, Shirika la Maendeleo la Taifa, P.O. Box 2669, Dar es Salaam.