Kama wewe ni mwomba ajira katika sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma, Basi hizi ndizo Sifa za Mtendaji wa Kijiji Katika Ajira Utumishi. Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya ...
Habari Times Latest Questions
TANGAZO LA KUJULISHWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA Afisa ...
Sekretarieti ya Ajita; Leo Serikali kupitia PSRS imetangaza ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Mtama – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtama amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka ...
Leo kutoka Sekretarieti ya Ajira Serikalini wametangaza fursa mpya pia, ajira mpya katika Nafasi za kazi Wilaya ya Rungwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe amepokea kibali cha Ajira Mpya kwa Ikama ya mwaka ...
Leo 26/07/2024, Sekretarieti ya Ajira Serikalini imetangaza ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Iramba – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa ...
Leo; Sekretarieti ya Ajira Serikali imetangaza nafasi za kazi katika Ajira Mpya Jiji la Tanga – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Tanga amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu ...
Video rasmi wa “Komasava Remix” unawashirikisha wasanii mahiri, Diamond Platnumz kutoka Tanzania, Jason Derulo kutoka Marekani, pamoja na wasanii Khalil Harisson na Chley. Video hii inaonyesha miondoko ya kuvutia na yenye nguvu ya kucheza, ikifanyika katika mandhari mbalimbali zenye mvuto ...
Leo tarehe 25/07/2024 KUMB NA.SDC/A20/17/22, Sekretarieti ya Ajira Tanzania imetangaza nafasi za kazi mpya katika Ajira Mpya Wilaya ya Songwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu ...
Leo Sekretarieti ya Ajira imetangaza nafasi za kazi ambazo ni Ajira Mpya kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) – Utumishi Julai 2024. Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) ni shirika linalomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ...
Tanzania; Leo tarehe 25/07/2024, serikali kupitia Wizara ya Elimu wametangaza nafasi za mafunzo ya ualimu wa shule za msingi. Hivyo, Huu ni Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025. Mwongozo huu unalenga kuwapa watumiaji maelezo kamili kuhusu ...