Leo kutoka Utumishi, Jinsi ya kubadili taarifa ajiraportal – Jinsi ya kufuta cheti, document yoyote ile Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 ...
Habari Times Latest Questions
Maelezo kuhusu Nafasi za kazi Wilaya ya Magu – Utumishi; Halmashauri ya Wilaya ya Magu imepokea kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 chenye Kada ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III nafasi ...
Maelezo kuhusu Nafasi za kazi Manispaa ya Ilemela – Utumishi; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye ...
Ajira mpya, Nafasi za kazi Wilaya ya Morogoro – Utumishi; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ...
Nafasi za Kazi HOTELI YA GOLD CREST15 Julai 2024 TUNATAFUTA MFANYAKAZI Nafasi ya Kazi: MpokeziMahali pa Kazi: Mwanza, Tanzania Tunatafuta haraka mpokezi wa kike mwenye sifa kujiunga na timu yetu. Mahitaji: Mwenye stashahada katika Usimamizi wa Hoteli au Ukiritimba. Uwezo mzuri wa mawasiliano, kujifunza haraka, ...
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS); Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-06-2023 na tarehe 21-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni ...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga amepokea Kibali cha Ajira Mpyakutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na UtawalaBora kupitia barua yenye Kumb.Na.FA. 97/288/01/09 ya tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo;anakaribisha maombi ya kazi kutoka ...