Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
  • 0

Leo tarehe 23/08/2024 sekretarieti ya ajira wametangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi Wilaya ya Tanganyika – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika amepokea Kibali cha Ajra mpya kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais ...

Erick
  • 0
  • 0

Leo, Sekretarieti ya ajira imetangaza ajira mpya au Nafasi za Kazi Manispaa ya Tabora – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi wa Manispaa amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka ...

Erick
  • 1
  • 1

Orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024. Hivyo, Afisa Mwandikishaji Jimbo la Tarime Mjini anapenda kuwatangazia waombaji wote wa kazi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya uboreshaji ...