Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
  • 1

Leo Utumishi (PSRS) wametangaza nafasi za kazi na ajira mpya katika Nafasi za Ajira Serikalini – Nafasi 192 Utumishi Taasisi za Elimu Tanzania Agosti 2024. Kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu ...

Erick
  • 1
  • 1

Leo, Sekretarieti ya ajira wametangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Wilaya ya Tunduru – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 ...

Erick
  • 0
  • 0

Leo, sektarieti ya ajira wametangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Wilaya ya Buhigwe – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, ...

Erick
  • 1
  • 1

Leo, JSC Tanzania wametangaza orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Wa Mahakama JSC – PDF Agosti 2024. Kufuatia tangazo la nafasi za ajira mpya zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 05 Julai, 2024, napenda ...

Erick
  • 0
  • 0

Leo, sekretarieti ya ajira imetangaza orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024. Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi katika Utumishi wa Bunge kuwa, usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe ...

Erick
  • -1
  • -1

Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katikaNafasi za Kazi Wilaya ya Sumbawanga – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa kuzingatia kibali cha ajira chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/09 cha tarehe 25/06/2024 ...

Erick
  • -1
  • -1

Leo serikali imetangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Shirika la Bima la Taifa (NIC) – Utumishi Agosti 2024. Kwa niaba ya Shirika la Bima la Taifa (NIC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania mahiri, makini, wenye uzoefu ...

Erick
  • 0
  • 0

Leo, Sekretarieti ya ajira imetangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Utumishi (PSRS) – Ajira 224 Utumishi Agosti 2024. Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Wakala wa Maji Safi na ...