Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
  • 0

Leo kutoka PSRS Sekretarieti ya Ajira, Serikali imetangaza Nafasi za kazi Wilaya ya Simanjiro – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu ...