
Usaili Mteknolojia Dawa Na Usaili Maabara Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya waliofanya usaili kuwa Matokeo Ya Usaili Mteknolojia Dawa Na Maabara yametoka Utumishi. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi ...