Leo kutoka PSRS Utumishi, Nafasi za kazi Kasulu – Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa ...
Habari Times Latest Questions
Leo kutoka PSRS Utumishi, Ajira mpya Nafasi za kazi Rufiji July 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu 0R Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. ...
Leo kutoka utumishi, Ajira mpya Nafasi za kazi Igunga; Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ...
Leo kutoka utumishi, Ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Mafinga kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. ...
Leo kutoka PSRS Utumishi, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mji Nzega – July 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nzega amepata kibali kipya cha ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka ...
Leo kutoka utumishi, Tangazo la Nafasi za kazi Halmashauri ya Mji Babati – Julai 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati amepata kibali kipya cha ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 ...
Leo kutoka utumishi, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mji Kibaha – Julai 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024. Hivyo ...
Maelezo kuhusu Nafasi za kazi Wilaya ya Magu – Utumishi; Halmashauri ya Wilaya ya Magu imepokea kibali cha ajira mpya chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 chenye Kada ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III nafasi ...
Maelezo kuhusu Nafasi za kazi Manispaa ya Ilemela – Utumishi; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye ...
Ajira mpya, Nafasi za kazi Wilaya ya Morogoro – Utumishi; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro amepokea kibali cha Ajira chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ...