Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2571
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 12
Erick
Asked: July 26, 20242024-07-26T13:02:36+00:00 2024-07-26T13:02:36+00:00In: Ajira

INEC Walioitwa kwenye Mafunzo NEC – Julai 2024

  • 12

TANGAZO LA KUJULISHWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

INEC Walioitwa kwenye Mafunzo NEC - Julai 2024

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Uchaguzi la Nkenge anapenda kuwataarifa wagwaniuaji walioorodheshwa katika jedwali hapo chini kuwa wamefaulu usaili na hivyo wanatakiwa kuhudhuria mafunzo ya kazi ya Waandikishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakalofanyika tarehe 05 hadi 11 Agosti, 2024 katika Wilaya ya Missenyi.

MAMBO YA KUZINGATIA

  1. Mafunzo yatafanyika kuanzia tarehe 02 – 03 Agosti, 2024 saa 2:00 asubuhi.
  2. Kwa Tarafa ya Kiziba mafunzo yatafanyika katika Ukumbi wa shule ya Msngi Mugana B na Tarafa ya Missenyi mafunzo yatafanyika katika Ukumbi Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi.
  3. Kila mshiriki anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi, ambapo vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha Taifa (NIDA) sipo namba ya NIDA (NIN), Kitambulisho cha Mpiga Kura, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho toka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji/Kata.
  4. Afisa Mwandikishaji Jimbo la Nkenge atagharimia posho ya mafunzo, Chakula na posho ya Usafiri kwa Washiriki waliokoawa mbali.
  5. Kila Mshiriki aingie tarehe, muda na mahali alipompangiwa kufanyia mafunzo. Aidha, Mshiriki atakayechelewa dakika 30 baada ya muda wa mafunzo kuanza hatapokelewa na nafasi yake atachukuliwa na miongoni mwa walio katika orodha ya usubiri.

Orodha ya wanaotakiwa kuhudhuria mafunzo imeambatishwa na Tangazo hili.

Bonyeza hapa kudownload pdf

INECKuitwa Mafunzo NECNECWalioitwa kwenye Mafunzo INECWalioitwa kwenye Mafunzo NEC
  • 2 2 Answers
  • 6k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    2 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-26T13:04:50+00:00Added an answer on July 26, 2024 at 1:04 pm

      NEC Kuitwa kwenye mafuzo INEC 2024

      Orodha ya majina ya mikoa mingine inapatikana katika tovuti husika. hivyo tembelea ili kuona jina lako.

      • -18
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Joshua
        Joshua
        2024-07-31T18:42:55+00:00Replied to answer on July 31, 2024 at 6:42 pm

        Wap hamna

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 175
    • Answers : 273
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 17 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Nenda DODOMA Makao makuu May 11, 2025 at 12:23 am
    • Ashraf said
      Ashraf said added an answer Daa mm nilishaenda mpk magogoni kivukoni zaid ya mala 3… May 11, 2025 at 12:23 am
    • Janeth N Mafie
      Janeth N Mafie added an answer Application for the temporary position as assistant accountant May 10, 2025 at 12:58 pm

    Related Questions

    • Erick

      Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi - Ajira za ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 17 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.