Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 1603
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
Erick
Asked: July 16, 20242024-07-16T00:16:58+00:00 2024-07-16T00:16:58+00:00In: HESLB

Kozi zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB

  • 1

Baada ya kuainisha waombaji wahitaji na kuonesha taratibu makundi ya Kozi au programu zifuatazo zenye vipaumbele zitapewa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo Tanzania – HESLB kulingana na uwepo wa fedha.

Kundi la Kwanza:

Kozi katika kundi la kwanza ni: –

  • Ualimu wa Sayansi (Fizikia, Kemia na Baiolojia), Ualimu wa Hisabati na TEHAMA;
  • Sayansi za Afya (Udaktari, Upasuaji Meno, Madawa ya Mifugo, Ufamasia, Uuguzi, Ukunga, Shahada ya Sayansi katika Prosthetikia na Mifupa, Shahada ya Sayansi katika Mazoezi ya Viungo, Shahada ya Sayansi ya Afya na Maabara, Shahada ya Sayansi ya Maabara na Matibabu na Shahada ya Sayansi ya Teknolojia ya Mionzi;
  • Programu za Uhandisi (Ujenzi, Mitambo, Umeme, Uchimbaji Madini, Utengenezaji Nguo, Kemikali na Usindikaji, Kilimo, Chakula na Usindikaji, Magari, Viwanda, Usafiri Majini, Teknolojia ya Uhandisi wa Baharini, Elektronikia na Mawasiliano, Usindikaji na Huduma baada ya Mavuno,  Maji na Umwagiliaji, na Uhandisi wa Ndege;
  • Jiolojia ya Petroli, Kemia ya Petroli; mafuta na gesi
  • Kompyuta, Programu za Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mitandao,
  • Takwimu Bima (Actuarial and Data sciences) Kilimo, Misitu, Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji.
HESLBKozi zenye kipaumbele HESLBProgramu HESLB
  • 2 2 Answers
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    2 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-16T00:19:47+00:00Added an answer on July 16, 2024 at 12:19 am

      KOZI ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB
      Kundi la Pili

      Kozi katika kundi hili ni:
      (i) Programu za Msingi za Sayansi (Shahada ya Sayansi kwa ujumla katika Wanyama, Mimea, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Baiolojia ya Viumbe Vidogo, Baiolojia ya Mifugo na
      Bioteknolojia, Uvuvi na Mifugo, Sayansi ya Mazingira na Uhifadhi, Matibabu, Hisabati na Takwimu, Sayansi ya Mazingira na Usimamizi, Afya na Mazingira, Baioteknolojia na Maabara, Wanyamapori na Uhifadhi, na Kompyuta); TEHAMA, Vipimo na Mizani, Mazingira na Maendeleo ya Miji.
      (ii) Programu ya Sayansi ya Ardhi (Ubunifu Majengo, Ubunifu Mandhari nje ya Majengo, Usanifu ndani ya Majengo, Uchumi Ujenzi, Mipango Miji na Vijiji, Usimamizi na Uthaminishi Ardhi, Jiospasho, Teknolojia katika Usanifu).

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    2. Erick
      Erick
      2024-07-16T00:21:08+00:00Added an answer on July 16, 2024 at 12:21 am

      KADA (KOZI) ZENYE KIPAUMBELE KUPATA MKOPO HESLB
      Kundi la Tatu
      (i) Programu katika kundi hili ni pamoja na Masomo ya Biashara na Uongozi, Sayansi za Jamii, Sanaa, Sheria, Lugha, Fasihi na Masomo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano.
      (ii) Programu nyingine zote ambazo hazijaorodheshwa katika kundi lolote kati ya hayo matatu, zitaangukia katika kundi la tatu.

      • -1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya Kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania

      • 2 Answers
    • Erick

      Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB

      • 3 Answers
    • Erick

      Sifa Kuu za Kupata Mkopo Wa Bodi ya Mikopo HESLB ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Mambo ya Kuzingatia Wakati wa kuomba Mkopo HESLB Bodi ya ...

      • 1 Answer

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.