Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 1599
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: July 15, 20242024-07-15T23:54:04+00:00 2024-07-15T23:54:04+00:00In: HESLB

Mambo ya Kuzingatia Wakati wa kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo

  • 0

Waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2024/2025 wanafahamishwa kuzingatia mambo yafuatayo:

  • Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo huu wa mwaka wa masomo 2024/2024;
  • Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne iwe sawa kwenye maombi ya mkopo na udahili wa chuo;
  • Waombaji ambao wamefanya mitihani ya kidato cha nne zaidi ya mara moja wahakikishe wanaorodhesha namba zote katika maombi yao;
  • Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za maombi ya mkopo unazowasilisha ziwe zimehakikiwa na mamlaka husika;
  • Kuhakikisha kwamba vyeti vyote vya kuzaliwa/vifo vinathibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) au wakala Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar (ZCSRA) au Afisa aliyeteuliwa ili kuthibitisha uhalali huo;
  • Kuhakikisha vyeti vyote vya kuzaliwa/vifo kwa Wanafunzi waliozaliwa nje ya nchi au wazazi waliofariki nje ya nchi vithibitishwe na ofisi za ubalozi husika zilizopo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;
  • Waombaji wajaze fomu zao kwa usahihi kabla ya kuziwasilisha;
  • Maombi ya mikopo yanapaswa kuwa na taarifa sahihi na za kweli;
  • Waombaji wote wanatakiwa kutunza nakala ya fomu ya maombi ya mkopo waliyowasilisha Bodi ya Mikopo kwa matumizi mengine (kama itahitajika);

Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa mwisho wa kutuma maombi.

Bodi ya MikopoHESLBkuomba Mkopo HESLB
  • 1 1 Answer
  • 357 Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-15T23:57:15+00:00Added an answer on July 15, 2024 at 11:57 pm

      MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO HESLB 2024/2025

      i. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Wanafunzi wa Shahada ya Awali (Bachelor) kwa 2024 -2025,

      ii. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Wanafunzi wa Stashahada (Diploma) kwa 2024 – 2025,

      iii. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Stashahada ya Umahiri katika Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo kwa 2024 – 2025 (Post Graduate Diploma in Legal Practice),

      iv. Mwongozo wa Utoaji Mikopo HESLB kwa Shahada za Umahiri na Uzamivu, na

      v. Mwongozo wa Utoaji Ruzuku za Samia kwa mwaka 2024 – 2025

      • -1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya Kuomba Mkopo HESLB Bodi ya Mikopo Tanzania

      • 2 Answers
    • Erick

      Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB

      • 3 Answers
    • Erick

      Kozi zenye Kipaumbele Kupata Mkopo HESLB

      • 2 Answers
    • Erick

      Sifa Kuu za Kupata Mkopo Wa Bodi ya Mikopo HESLB ...

      • 1 Answer

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.