Matokeo ya usaili wa Shirika la Mizinga – Utumishi Agosti 2024 yalitangazwa hivi karibuni, na waombaji waliochaguliwa walitakiwa kufika kwenye ofisi husika kwa ajili ya hatua za kuendelea na mchakato wa ajira. Usaili huo ulifanyika tarehe 28 na 29 Julai 2024, ambapo washiriki walijaribiwa kwa vitendo ili kuthibitisha ujuzi wao katika maeneo mbalimbali ya kazi.
Wakati wa kutangaza matokeo, Shirika la Mizinga lilisisitiza umuhimu wa waombaji kuwasilisha nyaraka zao zote muhimu, ikiwemo vyeti vya elimu na vitambulisho, ili kuhakikisha mchakato unakwenda kwa ufanisi. Taarifa zaidi kuhusu matokeo na hatua zinazofuata zinapatikana kwenye tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira.
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
- Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA SHIRIKA LA MZINGA ULIOFANYIKA TAREHE 04/08/2024
94.00 SELECTED
80.00 NOT SELECTED