Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2510
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
Erick
Asked: July 25, 20242024-07-25T14:58:07+00:00 2024-07-25T14:58:07+00:00In: Elimu

Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025

  • 1

Tanzania; Leo tarehe 25/07/2024, serikali kupitia Wizara ya Elimu wametangaza nafasi za mafunzo ya ualimu wa shule za msingi. Hivyo, Huu ni Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025. Mwongozo huu unalenga kuwapa watumiaji maelezo kamili kuhusu jinsi ya kutumia Mfumo wa Udahili na Usimamizi wa Vyuo vya Ualimu (TCMS) kwa ufanisi. Imeundwa kwa ajili ya watumiaji wote wa mfumo, wakiwemo wasimamizi wa vyuo, wafanyakazi wa udahili, wanafunzi Pamoja na Wafanyakazi makao makuu ya wizara.

Lengo kuu la mwongozo huu ni kuongoza mtumiaji hatua kwa hatua katika kila kipengele cha mfumo, kuanzia mwanafunzi anapoomba chuo, usajili na kuingia hadi usimamizi wa wanafunzi, masomo, na taarifa. Mwongozo huu unaelezea kwa kina kazi zote muhimu za mfumo, unatoa maelekezo ya wazi na mafupi, na unajumuisha picha za skrini na michoro ili kuifanya iwe rahisi kuelewa namana ya kutumia mfumo huu.

Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024

Malengo makuu ya mwongozo huu, kuboresha mchakato wa udahili na kuongeza ufanisi katika usimamizi wa vyuo vya ualimu. Tunatumai mwongozo huu utakuwa rasilimali muhimu kwa watumiaji wote wa Mfumo wa Udahili na Usimamizi wa Vyuo vya Ualimu. Tunawahimiza watumiaji kusoma mwongozo huu kwa makini na kufuata maelekezo kwa uangalifu ili kuhakikisha matumizi bora ya mfumo. Ikiwa watumiaji watakumbana na matatizo yoyote au maswali, wanaweza kuwasiliana na timu ya usaidizi wa mfumo kwa usaidizi. Kwa kutumia mwongozo huu, watumiaji wataweza:

  • Kuelewa vyema madhumuni na utendaji wa Mfumo wa Udahili na Usimamizi wa Vyuo vya Ualimu.
  • Kuelewa namna ya kutuma maombi ya kujiunga na vyuo vya ualimu kwa wanafunzi na waombajii
  • Kujifunza jinsi ya kujisajili na kuingia kwenye mfumo.
  • Kudhibiti mchakato wa udahili wa wanafunzi, kuanzia kupokea maombi hadi kutoa barua za uandikishaji.
  • Kuendesha masuala ya wanafunzi, kama vile usajili wa kozi, malipo ya ada, na ufuatiliaji wa mahudhurio.
  • Kudhibiti mipango ya masomo, kozi, na ratiba za masomo.
  • Kuunda na kutoa ripoti mbalimbali kuhusu wanafunzi, masomo, na shughuli za chuo.
  • Kutatua matatizo ya kawaida yanayoweza kutokea wakati wa kutumia mfumo.

Watumiaji wa Mwongozo

Mwongozo huu utatumika na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Watumishi katika vyuo vya ualimu kupitia moduli mbalimbali za mfumo. Pia mfumo utatumika na wanafunzi watakaokuwa wanataka kujiunga na vyuo vya Ualimu katika kozi mbalimbali kwa ajili ya kufanya udahili, usajili na kuona maendelkeo ya kitaaluma.

Mpangilio wa Mwongozo

Mwongozo wa Mfumo wa Mfumo wa Udahili na Usimamizi vyuo vya ualimu chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia una Sehemu kuu tatu (3) ambazo ni Sehemu ya kwanza ya utangulizi; Sehemu ya pili ni Mfumo wa Upande wa Mwombaji (Front office); Sehemu ya tatu ni Upande wa Viongozi (Back Office) na Hitimisho la Mwongozo.

Bonyeza hapa kudownload mwongozo wa mfumo wa maombi ya mafunzo ya Ualimu

Jinsi ya kutumia mfumo maombi ya UalimuMafunzo ya Ualimu 2024Mfumo wa TCMSUdahili wa Vyuo vya Ualimu
  • 1 1 Answer
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-25T16:43:19+00:00Added an answer on July 25, 2024 at 4:43 pm

      Huu mwongozo unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu Tanzania

      AINA YA MAFUNZO (KOZI)
      Stashahada Maalumu ya Ualimu Elimu ya Msingi katika masomo ya Sayansi na Hisabati (Miaka 03)
      VYUO VINAVYOTOA MAFUNZO: Monduli, Butimba, Klerruu, Songea, Tukuyu, Kasulu, Mpwapwa, Morogoro, Korogwe naTabora.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Fomu ya Ombi la Cheti Mbadala NECTA - Baraza la ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya ...

      • 3 Answers
    • Erick

      NECTA Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024-25 CSEE ...

      • 1 Answer
    • Erick

      NECTA Fomati ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Darasa ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Jinsi ya Kutuma Maombi Mafunzo ya Ualimu 2024/2025 - MOEST ...

      • 1 Answer

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.