Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2864
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: July 30, 20242024-07-30T17:41:12+00:00 2024-07-30T17:41:12+00:00In: Ajira

Nafasi 50 za Wakusanya Taarifa za Majengo Manispaa ya Kigamboni

  • 0

TANGAZO LA AJIRA YA MUDA MFUPI LA KAZI YA KUKUSANYA TAARIFA ZA MAJENGO HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Ajira Mpya Manispaa ya Kigamboni

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anapenda kuwatangazia nafasi 50 (Hamsini) za ajira ya muda mfupi ya kazi ya kukusanya taarifa za Majengo kwa Kata na Mitaa yote ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni. Zoezi hili linalotarajiwa kufanyika kwa muda wa siku 90 ikiwa ni utekelezaji wa uhuishaji wa kanzidata ya taarifa za majengo kwa lengo la kukusanya kodi ya majengo kama ilivyoainishwa kwenye Sheria ya Fedha za Serikali za Mitaa sura 290, 2019 na marekebisho yake ya mwaka 2023.

KAZI NA MAJUKUMU:

  • Kukusanya na kuingiza taarifa za majengo kwa usahihi katika mfumo wa ODK;
  • Kukusanya taarifa za mfumo wa anwani za makazi;
  • Kutuma taarifa za majengo kwa kutumia mfumo wa ODK;
  • Kutuma taarifa za mfumo wa anwani za makazi kwa kutumia mfumo wa ODK;
  • Kuhakikisha taarifa za majengo zinaendana na mfumo wa ukusanyaji taarifa;

Bonyeza hapa kudownload tangazo la Nafasi za kazi kukusanya Taarifa za Majengo Manispaa ya Kigamboni

AjiraAjira Mpya KigamboniManispaa ya KigamboniNafasi za kazi KigamboniNafasi za kukusanya taarifa za majengoUtumishi
  • 2 2 Answers
  • 3k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    2 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Erick
      2024-07-30T17:43:16+00:00Added an answer on July 30, 2024 at 5:43 pm

      Ajira Mpya Manispaa ya Kigamboni 2024 – Wakusanya Taarifa

      MAOMBI YAAMBATISHWE NA

      Nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne na kuendelea;
      Nakala ya Cheti cha Kuzaliwa;
      Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au namba ya Kitambulisho cha Taifa;
      Picha mbili za hivi karibuni (Passport size photograph);

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    2. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-30T17:44:23+00:00Added an answer on July 30, 2024 at 5:44 pm

      Nafasi za kazi Manispaa ya Kigamboni 2024 – Kukusanya Taarifa za Majengo

      JINSI YA KUTUMA MAOMBI YA KAZI
      Barua zote za maombi ya kazi zielekezwe kwa:

      Mkurugenzi wa Manispaa
      Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
      S.L.P 36009
      2 Barabara ya Mashujaa
      17882 KIGAMBONI
      Barua zote za maombi ya kazi zipitishwe na Mtendaji wa Mtaa anapoishi mwombaji;

      Upande wa mbele wa Bahasha ya maombi, eneo la juu kulia landikwe: Kumb. Na. DA.215/386/02/24;

      Barua za maombi zipelekwe katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata unayoomba;

      Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni siku ya Jumanne tarehe 31 Julai 2024, saa 9:00 Alasiri.

      Erasto N. Kiwale
      MKURUGENZI WA MANISPAA
      (HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI)

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi - Ajira za ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.