Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2880
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 10
Erick
Asked: May 9, 20252025-05-09T04:13:51+00:00 2025-05-09T04:13:51+00:00In: Ajira

Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 – Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

  • 10
Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 – Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Leo Aprili 30, 2024 JWTZ Wametangaza Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 – Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanza nchi wenye elimu ya kidato cha nne na kidato cha sita. Aidha, uandikishwaji utahusisha vijana walopko katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ‘Operesheni General Venance Mabeyo’ na walioimaliza makambi ambao wamefanya mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria na kwa Mkataba wa kujitolea.

Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Nafasi za Jeshi JWTZ

SIFA ZA MWOMBAJI (VIJANA WALIOPO JKT NA WALIOIMALIZA MKATABA WA JKT)

Vijana wenye nia ya kuandikishwa Jeshi wanatakikwa kuwa na sifa zifuatazo:-

  • Awe raia wa Tanzania.
  • Awe na umri usiozidi miaka 25.
  • Awe na afya nzuri na akili timamu.
  • Mwenye tabia na nidhamu nzuri, hajapakiatana na hatia ya makosa ya jinai mahakamani na kufungwa.
  • Awe na cheti halisi cha kuzaliwa.
  • Awe na vyeti vya shule.
  • Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi Maalumu cha kuzuia Magendo.
  • Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mkataba wa kujitolea miaka miwili (2) au mafunzo ya Mujibu wa Sheria na kutunukiwa cheti.

Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi JWTZ

Endelea kusoma maelezo mengine kwa chini..

Utaratibu wa Kutuma maombi kwa makundi yote mawili

Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yawasilishwe Makao

Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 hadi tarahe 14 Mei, 2025 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:-

  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au nambari ya NIDA.
  • Nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na Chuo.
  • Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea.
  • Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.

Maombi yatume kwa anuani ifuatavyo

Mkuu wa Utumishi Jeshini,
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania

Ajira za JeshiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)JWTZNafasi za JeshiNafasi za JeshiniNafasi za JWTZ
  • 2 2 Answers
  • 23k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    2 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-30T20:44:46+00:00Added an answer on July 30, 2024 at 8:44 pm

      Nafasi za Jeshini 2024 – Nafasi za kujiunga na Jeshi 2024 JWTZ

      UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI JESHINI (JWTZ)
      Utaratibu wa kutuma maombi ni ufuatao:-

      a. Kwa vijana waliopo katika makambi ya JKT ‘Operesheni General Venance Mabeyo’ taratibu zao zitatainishwa na Makao Makuu ya Jeshi.
      b. Kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Makambi ya JKT, maombi yao yaandikwe kwa mkono na kuwasilishwa Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Agosti, 2024 hadi tarehe 14 Agosti, 2024 wakiwa na vivuli vya nyaraka zifuatazo:-

      (1) Nakala ya kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
      (2) Nakala ya cheti cha kuzaliwa.
      (3) Nakala za vyeti vya shule.
      (4) Nakala ya cheti cha JKT.
      (5) Picha nne (4) za rangi ya ukubwa wa pasipoti.

      • -46
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    2. Erick
      Erick
      2024-07-30T20:45:42+00:00Added an answer on July 30, 2024 at 8:45 pm

      Ajira Mpya Jeshini – Nafasi za kazi Jeshi la JWTZ 2024

      MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO

      Mkuu wa Utumishi Jeshini,
      Makao Makuu ya Jeshi,
      Sanduku la Posta 194,
      DODOMA, Tanzania

      • -18
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.