Leo kutoka PSRS Utumishi, Nafasi za kazi Kasulu – Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu amepokea kibali cha Ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na. FA.228/613/01/C/021 cha tarehe 20 Mei, 2024 na kibali chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni 2024. Hivyo watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-
Nafasi zilizo Tangazwa Kasulu
- DEREVA II – NAFASI (2)
- MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI 4
- MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II- NAFASI 1
- MTENDAJI WA KIJIJI III – NAFASI 20
Bonyeza hapa kudownload Tangazo la nafasi za kazi Kasulu
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
Endelea kusoma maelezo chini..
Afisa mtendaji elimu yangu certificate of special needs
AJIRA MPYA KASULU.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/07/2024
x. MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya
S.L.P 97
KASULU