Leo kutoka utumishi, Ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Mafinga kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Nafasi zilizo Tangazwa Mafinga
- MTENDAJI WA MTAA DARAJA III – NAFASI 18
- DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 07
- MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – NAFASI 04
Bonyeza hapa kudownload Tangazo la Nafasi zakazi Mafinga
Endelea kusoma chini..
Ajira Mpya Mafinga – Nafasi za Halmashauri Utumishi.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 28 Julai, 2024.
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji Mafinga,
S.L.P. 76,
MAFINGA.