Serikali imetangaza Nafasi za kazi Nyasa – Utumishi Julai 2024 kupitia PSRS, Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 chenye Kada za Mtendaji wa kijiji Daraja la III nafasi ishirini (20), Msaidizi wa kumbukumbu Daraja la II nafasi tano (5) Dereva Daraja la II nafasi nne (4), Mwandishi mwenndesha Ofisi nafasi tatu (3) na Msaidizi wa maendeleo ya jamii II (Community Development Assistant II) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyasa anawatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wote wenye sifa na kuleta maombi ya kazi kwa nafasi zilizoainishwa hapo chini.
Ajira Mpya Nyasa
1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II – NAFASI 5
2. MTENDAJI WA KIJIJI III – NAFASI 20
3. DEREVA DARAJA LA Il – NAFASI 4
4. MWANDISHI MWENDESHA OFISI Il – NAFASI 3
5. MSAIDIZI WA MAENDELEO YA JAMII II – NAFASI 8
Bonyeza hapa kudownload Tangazo la nafasi za kazi Nyasa
Soma baadhi ya maelezo hapo chini..
AJIRA MPYA NYASA – NAFASI ZA HALMASHAURI 2024.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02/08/2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa
pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: –
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
2 Barabara ya Nyerere
S.L.P. 90,
Mbamba Bay,
57582 Nyasa – Ruvuma