Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Malinyi – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi amepokea kibali cha Ajira mpya kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. Hivyo anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifaya kujaza nafasi za kazi zifuatazo:-
Ajira Mpya Malinyi
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – NAFASI 10
2. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 3
3. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI 3
AJIRA MPYA MALINYI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI AGOSTI
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 19 Agosti, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, Anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi,
S. L. P 18,
MALINYI