Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 3647
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
Erick
Asked: August 15, 20242024-08-15T20:18:03+00:00 2024-08-15T20:18:03+00:00In: Ajira

Nafasi za Kazi Wilaya ya Tunduru – Utumishi Agosti 2024

  • 1

Leo, Sekretarieti ya ajira wametangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Wilaya ya Tunduru – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kupitia kibali cha ajira mpya chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 chenye Kada za Msaidizi wa kumbukumbu Daraja la II nafasi nne (4), Mtendaji wa kijiji Daraja la III nafasi kumi na moja (11) na Dereva Daraja la II nafasi tatu (3), kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduru anawatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wote wenye sifa na kuleta maombi ya kazi kwa nafasi zilizoainishwa hapo chini.

Ajira Mpya Tunduru

1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II – NAFASI 4
2. MTENDAJI WA KIJIJI III – NAFASI 11
3. DEREVA DARAJA LA Il – NAFASI 3

Bonyeza hapa kudownload tangazo la nafasi za kazi Tunduru

Ajira Mpya TunduruAjira Mpya Wilaya ya TunduruNafasi za kazi TunduruNafasi za kazi Wilaya ya TunduruWilaya ya Tunduru
  • 1 1 Answer
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-08-15T20:21:23+00:00Added an answer on August 15, 2024 at 8:21 pm

      AJIRA MPYA TUNDURU AGOSTI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI

      Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/08/2024
      MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa :-

      MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI
      HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU
      S.L.P 275
      TUNDURU

      • -1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi - Ajira za ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.