Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2937
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 13
Erick
Asked: May 9, 20252025-05-09T04:19:05+00:00 2025-05-09T04:19:05+00:00In: Ajira

Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana

  • 13
Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana

Nafasi za kazi JWTZ 2025, Kujiunga na Jeshi la wananchi Tanzania Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana kwa Watanzania wenye nia na sifa zilizo tajwa hapa chini.

TANGAZO LA NAFASI ZA JESHINI 2025

Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2024 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana

SIFA ZA MWOMBAJI

Vijana wa Kitanzania wenye nia ya kuandikishwa Jeshi wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-

  • Awe raia wa Tanzania mwenye kitambulisho cha Taifa. b Awe na afya nzuri na akili timamu,
  • Mwenye tabia na nidhamu nzuri, hajapatikana na hatia ya makosa ya jinai mahakamani na kufungwa.
  • Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate), vyeti vya Shule na vyeti vya Taaluma.
  • Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi cha Kuzuia Magendo.
  • Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mkataba wa kujitolea au Mujibu wa Sheria na kutunukiwa cheti.
  • Kwa vijana wenye elimu ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita wawe na umri usiozidi miaka 24, Vijana wenye elimu ya Stashahada umri usiozidi miaka 26, Vijana wenye elimu ya Juu umri usiozidi miaka 27 na Madaktari Bingwa wa Binadamu umri usiozidi miaka 35 ya kuzaliwa.

4.Taaluma Adimu zinazohitajika ni ifuatavyo:-

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI

Utaratibu wa kutuma maombi ni ufuatao:

1#. Kwa vijana waliopo katika makambi ya JKT ‘Operesheni Jenerali Venance Mabeyo’ taratibu zao zinratibiwa na Makao Makuu ya Jeshi.
2#. Kwa vijana waliopo nje ya Makambi ya JKT, maombi yao yaandikwe kwa mkono na kuwasilishwa Makao Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 01 Mei, 2025 hadi tarehe 14 Mei, 2025 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:

(1) Nakala ya kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
(2) Nakala ya cheti cha kuzaliwa.
(3) Nakala za vyeti vya shule.
(4) Nakala ya cheti cha JKT.
(5) Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.

MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO

Mkuu wa Utumishi Jeshini,
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania

kwa maelezo zaidi tembelea SUMA JKT kwenye ukurasa wao wa Instagramu au hapa kupitia tovuti ya JWTZ Tanzania.

JWTZNafasi za JeshiNafasi za jeshi 2024Nafasi za jeshi 2025Nafasi za kujiunga na jeshiNafasi za kujiunga na jeshi 2024Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ
  • 11 11 Answers
  • 10k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    11 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. K12
      K12
      2025-05-09T15:51:42+00:00Added an answer on May 9, 2025 at 3:51 pm

      Mmh

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    2. K12
      K12
      2025-05-09T15:51:42+00:00Added an answer on May 9, 2025 at 3:51 pm

      Mmh

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    3. K12
      K12
      2025-05-09T15:51:42+00:00Added an answer on May 9, 2025 at 3:51 pm

      Noma

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    4. Erick
      Erick
      2024-07-31T08:26:03+00:00Added an answer on July 31, 2024 at 8:26 am

      SIfa za Kujiunga na Jeshi la JWTZ Tanzania JESHI LA WANANCHI 2024

      Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: –

      1. Awe raia wa Tanzania
      2. Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na awe amefaulu..
      3. Awe hajaoa/hajaolewa
      4. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
      5. Awe na tabia na mwenendo mzuri
      6. Awe na akili timamu na afya nzuri

      • -13
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Jackson Barageti Goodluck
        Jackson Barageti Goodluck
        2024-07-31T18:41:44+00:00Replied to answer on July 31, 2024 at 6:41 pm

        Na mtu ambae hajapitia JKT kwenye kutuma maombi inakuwaje

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
      • Paul Nyanda
        Paul Nyanda
        2024-07-31T09:05:47+00:00Replied to answer on July 31, 2024 at 9:05 am

        Je kama sina kigezo cha JKT naruhusiea kutuma maombi

        • -37
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
      • Khamisi Khamisi Ayubu
        Khamisi Khamisi Ayubu
        2024-07-31T09:05:38+00:00Replied to answer on July 31, 2024 at 9:05 am
        This answer was edited.

        Maombi hatuwezi kutuma kwa njia ya mtandao maana sisi wengine tunakaa vijijini uku Zanzibar

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
    5. Erick
      Erick
      2024-07-31T08:19:34+00:00Added an answer on July 31, 2024 at 8:19 am
      This answer was edited.

      Jinsi ya kutuma maombi ya Ajira za Jeshi 2025.

      Kulingana na tangazo la mwaka huu wengi wanasema unapeleka moja kwa moja DODOMA ila kwa walio mbali Maombi yanatumwa kwa njia ya posta.
      Mkuu wa Utumishi Jeshini,
      Makao Makuu ya Jeshi,
      Sanduku la Posta 194,
      DODOMA, Tanzania

      Kuwa makini.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Roseh
        Roseh
        2024-07-31T09:05:54+00:00Replied to answer on July 31, 2024 at 9:05 am

        Unatumaje mm cjaelewa namba ya kutuma maombi au wana Link ya kutuma maombi

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
    6. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-31T08:12:58+00:00Added an answer on July 31, 2024 at 8:12 am
      This answer was edited.

      Utaratibu wa Kujiunga na jeshi JWTZ 2025 / 2026

      Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.

      Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.

      Kwa maelezo mengine tembelea tovuti ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.

      • 2
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    7. Erick
      Erick
      2024-07-31T08:11:32+00:00Added an answer on July 31, 2024 at 8:11 am
      This answer was edited.

      Mshahara wa Mwanajeshi 2025/2026

      Naomba kujua kiwango cha mshahara wa mwanajeshi wa Tanzania ni kiasi gani

      • -54
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.