Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 2017
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: July 19, 20242024-07-19T20:12:32+00:00 2024-07-19T20:12:32+00:00In: Elimu

Nafasi za Ufadhili wa Masomo Benki Kuu ya Tanzania (BOT) 2024/2025

  • 0

Leo kutoka BOT wametangaza Nafasi za Ufadhili wa Masomo Benki Kuu ya Tanzania (BOT) 2024/2025; Mfuko wa Kumbukumbu wa Mwalimu Julius K. Nyerere Watangaza Nafasi Kumi (10) za Ufadhili Kamili wa Masomo kwa Mwaka wa Masomo 2024/2025.

Ufadhili wa Masomo BOT

Mfuko huu ulianzishwa na Benki Kuu ya Tanzania tarehe 12 Oktoba 2009 kwa lengo la kuenzi mafanikio makubwa ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius K. Nyerere. Ufadhili huu unalenga hasa kusaidia wanafunzi wa kike wenye ufaulu wa hali ya juu kuendelea na masomo ya Sayansi na Hisabati katika vyuo vikuu vinavyotambulika nchini Tanzania, kwa lengo la kukuza umahiri wa kitaaluma katika nyanja husika.

Pia, Mfuko huu unafadhili wanafunzi wa kike na wa kiume wa Kitanzania kuendelea na masomo ya shahada ya kwanza katika nyanja za Sayansi, Hisabati, Uchumi, Teknolojia ya Habari, Uhasibu na Fedha. Aidha, Mfuko huu unafadhili wanafunzi bora wa Kitanzania wa kike na wa kiume kuendelea na masomo ya shahada ya uzamili katika fani zilizotajwa hapo juu.

Bonyeza hapa kudownload tangazo la udhahili BOT

Endelea kusoma maelezo yote hapa chini..

BOTUfadhili wa Masomo Benki Kuu ya TanzaniaUfadhili wa masomo BOTUfadhili wa masomo Mwalimu Julius K. Nyerere
  • 3 3 Answers
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    3 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-07-19T20:15:09+00:00Added an answer on July 19, 2024 at 8:15 pm

      Ufadhili wa Masomo Mwalimu Julius K. Nyerere Scholarship 2024/2025.

      Ufadhili huu hutolewa kwa kuzingatia sifa za kitaaluma na mchakato wa uchaguzi mkali. Waombaji watakaofaulu hupata ufadhili kamili unaogharamia gharama zote za moja kwa moja za chuo (ada za masomo nk.) na gharama za moja kwa moja za mwanafunzi (chakula, malazi, posho ya vitabu na vifaa vya kuandikia, mafunzo kwa vitendo, mahitaji maalum ya kitivo nk.) kama ilivyoainishwa katika muundo wa gharama za taasisi husika ikijumuisha kompyuta mpakato mpya kabisa.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Renatus Felician
        Renatus Felician
        2024-07-20T07:15:24+00:00Replied to answer on July 20, 2024 at 7:15 am

        Nipo tiari kusomeshwa nipo IFM mwaka wa kwanza.

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
      • Peace Lucas komba
        Peace Lucas komba
        2024-07-21T14:29:43+00:00Replied to answer on July 21, 2024 at 2:29 pm

        Samahani tunaombaje udhamini huu

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Fomu ya Ombi la Cheti Mbadala NECTA - Baraza la ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Ufadhili wa Kujiendeleza kwa Watumishi wa Umma Kada za Afya ...

      • 3 Answers
    • Erick

      NECTA Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2024-25 CSEE ...

      • 1 Answer
    • Erick

      NECTA Fomati ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Darasa ...

      • 1 Answer
    • Erick

      Mwongozo wa Mfumo wa Maombi ya Mafunzo ya Ualimu 2024/2025

      • 1 Answer

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.