Kama wewe ni mwomba ajira katika Sekretarieti ya Ajira katika OR-Utumishi wa Umma, Basi hizi ndizo Sifa za Msaidizi wa Kumbukumbu Katika Ajira Utumishi.
Msaidizi wa kumbukumbu ni mtu anayehusika na usimamizi wa rekodi na kumbukumbu za Serikali, kampuni au shirika. Majukumu yake yanaweza kujumuisha:
Sifa: Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
Mshahara wa Msaidizi wa Kumbukumbu 2024/2025
Ni upi mshahara wa mtu aliesomea Maswala ya Kumbukumbu?
Ngazi ya mshahara ni TGS C yaani Tshs. 585,000.00 kwa mwezi