Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 3308
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: August 3, 20242024-08-03T21:00:28+00:00 2024-08-03T21:00:28+00:00In: Ajira

Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Ilemela 2024

  • 0

Orodha ya majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC – INEC Ilemela Agosti 2024. Kwa madhumuni ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 12 (1) (b) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura za Mwaka 2024, Tangazo la Serikali Na.389 la tarehe 17/5/2024, Afisa Mwandiakshi wa Jimbo la Ilemela, anawatariifu waombaji wote walioomba nafsi za kazi za muda – wa Waandishi Wasadizi na Waendeshaaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Mwaka 2024 kuwa usaili utafanyika tarehe 5 Agosti 2024 katika Shule ya Sekondari Buswelu kuanzia saa 6.00 Mchana.

Mambo ya kuzingatia kwa wasailiwa wote:-

  1. Usaili utafanyika tarehe 5 Agosti 2024 katika Shule ya Sekondari Buswelu. Kuanzia saa 6.00 Mchana.
  2. Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi wakati wa usaili, kama vile:
    • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha NIDA,
    • Kitambulisho cha Mpiga Kura,
    • Hati ya Kusafiria,
    • Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.
  3. Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
  4. Kila msailiwa anapaswa kuzingatia tarehe, muda na mahali pa usaili.
  5. Kila msailiwa anapaswa kuja na kalamu (pen) ya rangi ya bluu/nyeuzi kwa ajili ya kuandikia
  6. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekama katika tangazo hili waisisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kukidhi masharti yatakayowekwa.

Bonyeza hapa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili Ilemela

INECNECWalioitwa kwenye usaili INECWalioitwa kwenye Usaili NECWalioitwa kwenye usaili NEC Ilemela
  • 1 1 Answer
  • 489 Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-08-03T21:02:07+00:00Added an answer on August 3, 2024 at 9:02 pm

      MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC ILEMELA 2024

      Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.

      Mkurugenzi wa Manispaa, 200 Barabara ya Buswelu, 33322 Buswelu, S.L.P 735, Ilemela – Mwanza. Simu: + 255 (28) 2981109, Nukushi: + 255 (28) 2981108, Barua pepe: mlemela@pmoralg.go.tz

      • -1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.