Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 3678
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
Erick
Asked: August 17, 20242024-08-17T17:53:47+00:00 2024-08-17T17:53:47+00:00In: Usaili

Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024

  • 1

Orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024. Hivyo, Afisa Mwandikishaji Jimbo la Tarime Mjini anapenda kuwatangazia waombaji wote wa kazi ya Waandishi wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kuwa usaili utafanyika tarehe 19/08/2024 katika ukumbi wa Tarime sekondari kuanzia saa kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Mambo ya kuzingatia:

  • Usaili utafanyika tarehe 19 Agosti 2024 katika ukumbi wa Tarime sekondari kuanzia saa 2:00 asubuhi
  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambulizi
  • Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na kitambulisho cha NIDA, kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha mkazi, hati ya kusafiria, leseni ya udereva au barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa/kijiji.
  • Kila msailiwa atajigharamia usafiri na chakula na malazi.
  • Kila msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali palipopangwa kufanyia usaili.
  • Kila msaili aje na kalamu ya rangi ya blue/nyesi kwa ajili ya kuandikia.
  • Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia masharti ya tangazo husika.

Bonyeza hapa kudownload majina ya walioitwa kwenye usaili Tarime

NEC - INECNEC Walioitwa kwenye usailiUsaili NEC - INEC walioitwaWalioitwa kwenye usaili INECWalioitwa kwenye Usaili NEC
  • 1 1 Answer
  • 2k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-08-17T17:55:56+00:00Added an answer on August 17, 2024 at 5:55 pm

      MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC TARIME 2024

      Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.

      Nakala
      Tovuti ya Halmashauri ya Mji
      http://www.tarimetc.go.tz
      Mbao za matangazo

      • -1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA ...

      • 0 Answers
    • Erick

      Matokeo Ya Usaili Mteknolojia Dawa Na Maabara

      • 0 Answers
    • Erick

      Matokeo Ya Usaili Msaidizi Wa Afya

      • 0 Answers
    • Erick

      Matokeo ya Usaili wa Kuandika Bunge la Tanzania - Utumishi ...

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.