Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 1660
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 10
Erick
Asked: May 9, 20252025-05-09T19:59:13+00:00 2025-05-09T19:59:13+00:00In: Ajira

Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal – Utumishi 2025

  • 10

Kutoka Utumishi, Jinsi ya kubadili taarifa ajiraportal – Jinsi ya kufuta cheti, document yoyote ile Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal 2025; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 iliyorejewa 2019, ambayo inaelekeza kuwepo kwa chombo maalumu cha kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma.

Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi 2025

Jukumu la msingi la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni kuwezesha mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma kwa kushirikiana na Idara na Taasisi mbalimbali za Umma.

Hivi karibuni zitatangazwa nafasi za kazi mbalimbali na watanzania wenye sifa wanatakiwa kuomba nafasi hizo kupitia mfumo wa Ajira Portal. Katika mfumo huu muombaji kazi anatakiwa kupakia nakala za vyeti vyake ambazo zimehakikiwa na kugongwa mhuri na Mwanasheria au Wakili kuonesha kuwa ni nakala kutoka katika vyeti halisi.

Pia Muomba kazi anatakiwa kupakia vyeti vyake kwenye mfumo kulingana na kiwango chake cha elimu ili kumuwezesha kuomba pindi nafasi zinapo tangazwa. Ikitokea umeudanganya mfumo au umeweka cheti cha taaluma kisicho cha kwako, au unataka kuomba nafasi ya juu au ya chini kulinganisha na cheti cha taaluma ulichonacho, hutoweza kuomba nafasi uliyoomba kwani mfumo unamtambua cheti chako cha elimu ambacho umeweka kwenye mfumo.

Ikitokea umekosea kupakia cheti chako, Mfumo hauto kuruhusu kufuta cheti chako bali utalazimika kwenda sehemu uliyo kosea na kuhariri (edit) cheti chako kisha kupakia (upload) kilicho sahihi.

Hata hivyo; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetambua changamoto wanazokutana nazo waombaji kazi na imeweka simu ya Huduma kwa mteja namba 0262160350 inayopatikana kuanzia saa 2.00 Asubuhi mpaka saa 12.00 Jioni kwa siku za kazi na Maafisa wapo tayari kwa ajili ya kutoa huduma au unaweza kutuma barua kupitia ict@ajira.go.tz (Zingatia kuambatanisha maelezo kamili, Namba ya NIDA na email yako).

AjiraAjira PortalUtumishi
  • 15 15 Answers
  • 10k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    15 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Joseph mrosso
      Joseph mrosso
      2025-05-09T20:35:07+00:00Added an answer on May 9, 2025 at 8:35 pm

      Hivi ni lazima uwe na vigezo vyote vya job requirement maan mm kila nikijaribu kuapply kazi inaniambia job fail check requirement.

      2. Ni system inachambua yenyewe kuwa huyu hajafikia requirement ya kazi. Au kuna kitu mm nakosea wakati wa kuapply.

      • 1
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Erick
        Erick
        2025-05-09T20:38:21+00:00Replied to answer on May 9, 2025 at 8:38 pm

        Tuanze mdogo mdogo tutafika
        1. Una kiwango gani cha elimu na una tuma maombi katika nafasi ipi (Itaje)
        2. Na hiyo kazi unayoiomba ipo katika category gani ukiingia pale portal.ajira.go.tz Pia, kwenye account yako umesave kuwa wewe ni mtu wa category gani?

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
    2. Frank elirehema Pallangyo
      Frank elirehema Pallangyo
      2024-07-18T10:29:42+00:00Added an answer on July 18, 2024 at 10:29 am

      Samahani naomba msaada wa kufuta vyeti cha diploma n certificte nlivyoapload kimakosa

      • -45
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Irene
        Irene
        2024-07-18T23:08:27+00:00Replied to answer on July 18, 2024 at 11:08 pm

        Habari? namna ya kufuta cheti katika kipengele cha academic qualification

        • -39
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
        • rodrck simon
          rodrck simon
          2024-07-24T11:22:58+00:00Replied to answer on July 24, 2024 at 11:22 am

          tunaopmba msaada namna ya kufuta cheti maana maelekezo mnayotoa kuedit lakin kweny program haileti

          • -1
          • Reply
          • Share
            Share
            • Share on Facebook
            • Share on Twitter
            • Share on LinkedIn
            • Share on WhatsApp
          • K12
            K12
            2025-05-09T15:51:42+00:00Replied to answer on May 9, 2025 at 3:51 pm

            Hapo ni kwenda moja kwa moja ofisi za utumishi Dodoma kabisa au upige simu au njia nyingine ni kupiga simu bila kuchoka maana hawapokeagi wale watu.

            Au tuma email yenye maelezo ya kutosha nenda direct kwenye swala lako ambatanisha na namba ya nida, email yako n.k.

            Elezea shida yako kwa kina.

            • 2
            • Reply
            • Share
              Share
              • Share on Facebook
              • Share on Twitter
              • Share on LinkedIn
              • Share on WhatsApp
        • meck
          meck
          2024-07-24T11:22:58+00:00Replied to answer on July 24, 2024 at 11:22 am

          hii ni changamoto kwa wengi

          • 5
          • Reply
          • Share
            Share
            • Share on Facebook
            • Share on Twitter
            • Share on LinkedIn
            • Share on WhatsApp
    3. Enliq
      Best Answer
      Enliq
      2024-07-16T20:38:14+00:00Added an answer on July 16, 2024 at 8:38 pm

      Jinsi ya kubadili Taarifa katika Mfumo wa Ajira Portal Utumishi.

      Pia kwa Msaada zaidi unaweza kufika katika Ofisi zetu zilizopo Dodoma katika majengo ya Dr. Asha Rose Migiro, Dar es Salaam – Magogoni, na Zanzibar – Mazizini (Jengo la sheria, Ghorofa ya tatu) kwa ajili ya msaada zaidi.

      Aidha, tunawasihi waomba kazi kujaza taarifa na kupakia nakala za vyeti vyao kwenye mfumo wa Ajira portal wao wenyewe na si kufanyiwa na mtu mwingine ili kuepuka makosa yanayoweza kuepukika, na pia mnatakiwa kuzingatia taratibu na masharti yaliyoekwa kwani watanzania wengi wameweza kuomba kazi na kufanikiwa.

      Epuka Matapeli, soma maelekezo kabla ya kupakia vyeti vyako na kuomba nafasi ya kazi uliyo kusudia.

      Lynn Chawala
      Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
      • Samwel
        Samwel
        2024-07-24T11:22:58+00:00Replied to answer on July 24, 2024 at 11:22 am

        Je ni lazima vyeti vipigwe mhuri na mwanasheria kwa sisi walimu wa grade IIIA

        • 1
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
        • Erick
          Erick
          2025-05-09T20:43:18+00:00Replied to answer on May 9, 2025 at 8:43 pm

          Ndiyo

          • 0
          • Reply
          • Share
            Share
            • Share on Facebook
            • Share on Twitter
            • Share on LinkedIn
            • Share on WhatsApp
      • George A Mzumb
        George A Mzumb
        2024-07-17T14:27:04+00:00Replied to answer on July 17, 2024 at 2:27 pm

        Binafsi nimekubwa na hiyo Changamoto lakini shida ni kwamba Simu haizipokelewi na wengine Tuko Mbali na Dodoma Nimepiga Simu Dakika Arobain na Tano Zimekatika lakin Simu yangu haikupokelewa

        • 0
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
        • Evance
          Evance
          2024-07-17T17:50:06+00:00Replied to answer on July 17, 2024 at 5:50 pm

          Unatakiwankuwa na subira hadi simu itakapopokelewa, unaeza subiri hadi dk 45 ndipo inapokelewa.
          Inachelewa kuoikelewa kwasababu yakuwepo kwa wateja wengi wenye changamoto kama zakwako.
          Hivyo, unapopiga simu, usikate, subiri hadi itakapo pokelewa.

          • -1
          • Reply
          • Share
            Share
            • Share on Facebook
            • Share on Twitter
            • Share on LinkedIn
            • Share on WhatsApp
        • Erick
          Erick
          2024-07-17T14:27:04+00:00Replied to answer on July 17, 2024 at 2:27 pm

          Habari mkuu,
          Mimi naona hujasoma maelezo kila kitu kimeandikwa hapo jinsi ya kutatua changamoto yako.
          Kuna namba za huduma kwa wateja utumishi pia email ya kuwasiliana na kitengo cha utumishi (ICT).

          • 0
          • Reply
          • Share
            Share
            • Share on Facebook
            • Share on Twitter
            • Share on LinkedIn
            • Share on WhatsApp
      • Kateti Adam Kateti
        Kateti Adam Kateti
        2024-07-16T22:13:28+00:00Replied to answer on July 16, 2024 at 10:13 pm

        Jinsi ya kufuta cheti

        • -65
        • Reply
        • Share
          Share
          • Share on Facebook
          • Share on Twitter
          • Share on LinkedIn
          • Share on WhatsApp
        • Erick
          Erick
          2025-05-09T20:44:30+00:00Replied to answer on May 9, 2025 at 8:44 pm

          Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja kwa moja katika ofisi zao Dodoma.

          • 0
          • Reply
          • Share
            Share
            • Share on Facebook
            • Share on Twitter
            • Share on LinkedIn
            • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Kishapu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Mkataba Wilaya ya Muleba 2025

      • 0 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kazi DHL Tanzania 2025

      • 2 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.