Utumishi wametangaza orodha kamili ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili TANAPA Julai 2024 unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 03-08-2024 hadi 16-08-2024 na baada ya hapo kupangiwa vituo vya kazi Kumb.Na.JA.9/259/01/B/16. – Kuitwa kwenye Usaili Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili Tanapa
Endelea kusoma maelezo muhimu mengine zaidi sehemu ya chini huku ukijiandaa na usaili.
KUITWA KWENYE USAILI TANAPA JULY 2024 UTUMISHI.
Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
KAMBI YA JKT OLJORO (ARUSHA) – ZOEZI LA KUPIMA AFYA.
12.08.2024 – CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA) – ARUSHAZOEZI LA KUPIMA AFYA:TAREHE 13.08.2024 – KAMBI YA JKT OLJORO (ARUSHA).