Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina waliofaulu na ambao hawakufaulu kwamba Matokeo Ya Usaili Msaidizi Wa Afya yapo tiari. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi kama walivyoainisha katika barua ya maombi ya kazi kwa ajili ya usaili wa mahojiano.
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao
Soma zaidi: