Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 1744
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 1
Erick
Asked: July 17, 20242024-07-17T19:37:42+00:00 2024-07-17T19:37:42+00:00In: Ajira

Nafasi za kazi Igunga – Utumishi July 2024

  • 1

Leo kutoka utumishi, Ajira mpya Nafasi za kazi Igunga; Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibali hicho Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zifuatazo :-

Nafasi zilizo Tangazwa Igunga

  1. MTENDAJI WA KIJIJI III – NAFASI (15)
  2. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – NAFASI (05)
  3. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI (05)

Bonyeza hapa kudownload Tangazo la nafasi za kazi Igunga

Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini.

Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/Wakili.

Endelea kusoma maelezo chini.

AjiraAjira Mpya IgungaNafasi za kazi IgungaUtumishi
  • 1 1 Answer
  • 1k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    1 Answer

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Enliq
      Best Answer
      Enliq
      2024-07-17T19:39:05+00:00Added an answer on July 17, 2024 at 7:39 pm

      Ajira Mpya Igunga – Nafasi za Halmashauri Utumishi 2024.

      Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 31 Julai, 2024.
      MUHIMU: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi
      iliyosainiwapamoja na vyeti vya elimu, Anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;

      MKURUGENZI MTENDAJI,
      HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA,
      S.L.P. 19,
      IGUNGA.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Sekretarieti ya Ajira | Tangazo kuhusu Ajira za Ualimu 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi 11015 za Ajira za Ualimu Utumishi - Ajira za ...

      • 3 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick

      Nafasi za Mkataba MSF Tanzania 2025

      • 1 Answer
    • Erick

      Nafasi za Kazi Wilaya ya Liwale 2025

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.