Leo, Orodha ya majina ya kuitwa au Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024. Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bunda na Mwibara anapenda kuwatangazia wananchi wote waliomba nafasi za kazi katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuwa Usaili unatarajia kuendeshwa kuanzia tarehe 20-08-2024 hadi 21-08-2024 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakaofaulu usaili huo. Bofya hapa kuona orodha ya majina na ratiba ya usaili.
Kuitwa kwenye usaili NEC au INEC katika majimbo mbalimbali ya Bunda pamoja na mwibara.
Wasaliliwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi, vitambulisho mfano – kitambulisho cha mkazi, kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya Kusafiria au kitambulisho cha kazi.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (original), kuanzia cheti cha kuzaliwa, na vile ambavyo uliambatanisha kwenye barua ya maombi.
- Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri na malazi.
- Kila msailiwa azingatie tarehe na mahali alipangiwa kufanyia usaili.
Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili NEC Bunda
1# KATA YA SALAMA NEC
2# KATA YA HUNYARI NEC
3# KATA YA MIHINGO NEC
4# KATA YA MUGETA NEC
5# KATA YA KETARE INEC
6# KATA YA NYAMANG’UTA INEC
7# KATA YA NYAMUSWA INEC
8# KATA YA NYAMIHYOLO INEC
9# KATA YA BUTIMBA NEC
10# KATA YA KASUGUTI INEC
11# KATA YA KISORYA NEC
12# KATA YA CHITENGULE INEC
13# KATA YA NAMHULA NEC
14# KATA YA NAMHULA INEC
15# KATA YA NANSIMO INEC
16# KATA YA IGUNDU NEC
17# KATA YA NYERUMA INEC
18# KATA YA NAMPINDI NEC
19# KATA YA IRAMBA INEC
20# KATA YA KIBARA NEC
Soma zaidi: NEC Walioitwa kwenye Usaili Tume ya Uchaguzi INEC 2024 Tarime
ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC – INEC BUNDA 2024
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
Jimbo la Mwibara usaili utafanyika tarehe 20/08/2024 katika eneo la OFISI ZA KATA.
Jimbo la Bunda usaili utafanyika tarehe 21/08/2024 Katika eneo la TRC NYAMUSWA.
Wasailiwa watatakiwa kufika kwenye eneo la usaili saa 1:30 Asubuhi.
Wasailiwa wanapaswa kuwa na vitambulisho kwa ajili ya utambuzi, Vitambulisho vitakavyokubaliwa ni pamoja na Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Kazi, Kitambulisho cha Uraia, Leseni au Hati ya kusafiria.
Wasailiwa watatakiwa kufika na vyeti vya Taaluma na Ujuzi alionao.
Wasailiwa wazingatie tarehe, Muda na mahali uliopangiwa kufanyia usaili.