Sign Up

Have an account? Sign In Now

Sign In

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

You must login to ask a question.

Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

Habari Times

Habari Times

Habari Times Navigation

You can use WP menu builder to build menus
Search
Ask A Question

Mobile menu

Close
Ask a Question
You can use WP menu builder to build menus
Home/ Questions/Q 3592
Next
Answered
Matangazo ya kazi Ajira Portal

Habari Times Latest Questions

Erick
  • 0
Erick
Asked: August 13, 20242024-08-13T11:52:52+00:00 2024-08-13T11:52:52+00:00In: Usaili

Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024

  • 0

Leo, sekretarieti ya ajira imetangaza orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024. Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi katika Utumishi wa Bunge kuwa, usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 24-08-2024 hadi 29-08-2024 Jijini Dodoma. Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF - Utumishi Agosti 2024
Walioitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania PDF – Utumishi Agosti 2024

Kuitwa kwenye Usaili Bunge la Tanzania

RATIBA YA USAILI WA MCHUJO

 MWAJIRIKADATAREHE YA USAILIMAHALI
Bunge AFISA TAWALA DARAJA LA II24-08-2024 07:00 AMUNIVERSITY OF DODOMA, COLLEGE OF INFORMATION AND VIRTUAL EDUCATION (CIVE), AUDITORIUM HALL
Bunge FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)24-08-2024 07:00 AMUNIVERSITY OF DODOMA, COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (COBE)CBSL 1
Bunge MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II24-08-2024 07:00 AMUNIVERSITY OF DODOMA, COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (COBE)CBSL 2
Bunge FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UFUNDI)24-08-2024 07:00 AMUNIVERSITY OF DODOMA, COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (COBE)CBSL 1
Bunge TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST)24-08-2024 07:00 AMUNIVERSITY OF DODOMA, COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (COBE)CBSL 1

RATIBA YA USAILI WA VITENDO

 MWAJIRIKADATAREHE YA USAILIMAHALI
Bunge FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)26-08-2024 08:00 AMCHUO CHA UFUNDI VETA, DODOMA
Bunge FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UFUNDI)26-08-2024 08:00 AMCHUO CHA UFUNDI VETA, DODOMA

RATIBA YA USAILI WA MAHOJIANO

 MWAJIRIKADATAREHE YA USAILIMAHALI
Bunge AFISA TAWALA DARAJA LA II28-08-2024 07:30 AMOFISI YA BUNGE – DODOMA, JENGO LA UTAWALA, GHOROFA YA TANO
Bunge FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UMEME)29-08-2024 07:30 AMOFISI YA BUNGE – DODOMA , JENGO LA UTAWALA, GHOROFA YA TANO
Bunge MTEKNOLOJIA DAWA DARAJA LA II28-08-2024 07:30 AMOFISI YA BUNGE – DODOMA , JENGO LA UTAWALA, GHOROFA YA TANO
Bunge FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UFUNDI)29-08-2024 07:30 AMOFISI YA BUNGE – DODOMA , JENGO LA UTAWALA, GHOROFA YA TANO
Bunge TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST)28-08-2024 07:30 AMOFISI YA BUNGE – DODOMA , JENGO LA UTAWALA, GHOROFA YA TANO

Bonyeza hapa kudownload tangazo la walioitwa kwenye usaili Bunge la Tanzania

Bunge la Tanzaniakuitwa kwenye usaili Bunge la Tanzaniamajina ya walioitwa kwenye usaili Bunge la TanzaniaUsaili Bunge la TanzaniaWalioitwa kwenye usaili Bunge la Tanzania
  • 2 2 Answers
  • 2k Views
  • 0 Followers
  • 0
Share
  • Facebook
    Leave an answer

    Leave an answer
    Cancel reply

    2 Answers

    • Voted
    • Oldest
    • Recent
    1. Erick
      Erick
      2024-08-13T11:57:07+00:00Added an answer on August 13, 2024 at 11:57 am

      ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA UTUMISHI AGOSTI 2024

      1. Kila Msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
      2. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
      3. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wanatakiwa kufika na Hati za Uhakiki wa Vyeti vyao kutoka kwa Mamlaka zinazohusika (kama TCU, NACTE au NECTA)
      4. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa kwa kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
      5. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
      6. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili
      7. Wasailiwa wote mnajulishwa kuwa kwa sasa, hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi hivyo mnashauriwa kuvaa nguo zinazohimili hali ya hewa ya ubaridi.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    2. Erick
      Best Answer
      Erick
      2024-08-13T11:55:47+00:00Added an answer on August 13, 2024 at 11:55 am

      KUITWA KWENYE USAILI BUNGE LA TANZANIA – UTUMISHI (PSRS)

      1. Usaili wa Mchujo utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili. Muda na mahali ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
      2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika akiwa amevaa NADHIFU.
      3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
      4. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI (ORIGINAL), kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.
      5. Wasailiwa watakaowasilisha (Testimonials, Provisional Results, Statement of results) hati za matokeo HAZITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

      • 0
      • Reply
      • Share
        Share
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Share on LinkedIn
        • Share on WhatsApp
    Matangazo ya kazi Ajira Portal

    Sidebar

    Ask A Question

    Stats

    • Questions : 174
    • Answers : 270
    • Most visited
    • Answers
    • Erick

      Nafasi za Jeshi JWTZ 2025 - Ajira Jeshi la Ulinzi ...

      • 2 Answers
    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs - Utumishi ...

      • 4 Answers
    • Erick

      Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2025 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa ...

      • 11 Answers
    • Erick

      Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal - Utumishi ...

      • 15 Answers
    • Erick
      Erick added an answer Huwezi kufuta cheti ajira portal, kitu cha kufanya nenda moja… May 9, 2025 at 8:44 pm
    • Erick
      Erick added an answer Ndiyo May 9, 2025 at 8:43 pm
    • Erick
      Erick added an answer Tuanze mdogo mdogo tutafika 1. Una kiwango gani cha elimu… May 9, 2025 at 8:38 pm

    Related Questions

    • Erick

      Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Aprili 2025 - Tanzania ...

      • 4 Answers
    • Erick

      MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA ...

      • 0 Answers
    • Erick

      Matokeo Ya Usaili Mteknolojia Dawa Na Maabara

      • 0 Answers
    • Erick

      Matokeo Ya Usaili Msaidizi Wa Afya

      • 0 Answers
    • Erick

      Matokeo ya Usaili wa Kuandika Bunge la Tanzania - Utumishi ...

      • 0 Answers

    Trending Tags

    Ajira INEC NEC Utumishi Walioitwa kwenye usaili INEC

    Explore

    Footer

    © 2024 Habari Times. All Rights Reserved
    Created by Habaritimes.