Leo tarehe 24/07/2024 kampuni ya Coca-Cola imetangaza fursa mpya za ajira kwa watanzania wenye sifa kujaza Nafasi za kazi Coca Cola Kwanza Tanzania – Julai 2024. Coca-Cola Kwanza Ltd ina fursa za kusisimua katika Idara ya Uzalishaji. Tunatafuta watu binafsi ...
Habari Times Latest Questions
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14-01-2023 na tarehe 21-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ...
Leo tarehe 25/07/2024 KUMB NA.SDC/A20/17/22, Sekretarieti ya Ajira Tanzania imetangaza nafasi za kazi mpya katika Ajira Mpya Wilaya ya Songwe – Utumishi Julai 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe amepokea Kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu ...
Leo kutoka INEC, Orodha ya majina ya Walioitwa kwenye Usaili INEC – Bukoba NEC; Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Bukoba Mjini anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa ...
Leo kutoka PSRS, Serikali imetangaza fursa mpya za Nafasi za kazi Wilaya ya Mkalama – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu ...
Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya ya Ngara – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 ...
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliochaguliwa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kujiunga chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) katika matawi yake yote (Dar-es-Salaam Campus, Mwanza Campus, Dodoma Campus na Simiyu Campus) kutembelea tovuti ya chuo: