Leo Julai 30, 2024 JWTZ Wametangaza Nafasi za Jeshi JWTZ 2024 – Ajira Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa kitanza nchi wenye ...
Habari Times Latest Questions
Leo tarehe 23/07/2024, Serikali imetangaza Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Julai 2024 – Tanzania TPF. Mkuu wa Jeshi la Polisi anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT PORTAL, ...
Leo serikali imetangaza nafasi za kazi Nafasi 6257 za Ajira Mpya MDAs & LGAs – Utumishi August 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, Idara zinazo jitegemea, Wakala za Serikali, Tawala za Mikoa ...
Leo kutoka Utumishi, Jinsi ya kubadili taarifa ajiraportal – Jinsi ya kufuta cheti, document yoyote ile Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 ...
Nafasi za kazi JWTZ 2024, Kujiunga na Jeshi la wananchi Tanzania Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2024 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana kwa Watanzania wenye nia na sifa zilizo tajwa hapa chini. TANGAZO LA NAFASI ZA JESHINI 2024
Leo, Sekretarieti ya ajira imetangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Utumishi (PSRS) – Ajira 224 Utumishi Agosti 2024. Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Wakala wa Maji Safi na ...
TANGAZO LA KUJULISHWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA