Leo kutoka Utumishi, Jinsi ya kubadili taarifa ajiraportal – Jinsi ya kufuta cheti, document yoyote ile Jinsi ya kuedit / kurekebisha nakala Ajira Portal; Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa kwa mujibu wa kifungu 29 ...
Habari Times Latest Questions
Nafasi za Kazi HOTELI YA GOLD CREST15 Julai 2024 TUNATAFUTA MFANYAKAZI Nafasi ya Kazi: MpokeziMahali pa Kazi: Mwanza, Tanzania Tunatafuta haraka mpokezi wa kike mwenye sifa kujiunga na timu yetu. Mahitaji: Mwenye stashahada katika Usimamizi wa Hoteli au Ukiritimba. Uwezo mzuri wa mawasiliano, kujifunza haraka, ...
Nafasi za kazi JWTZ 2024, Kujiunga na Jeshi la wananchi Tanzania Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2024 JWTZ Tanzania Uwandikishaji wa Vijana kwa Watanzania wenye nia na sifa zilizo tajwa hapa chini. TANGAZO LA NAFASI ZA JESHINI 2024
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA KATIKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote ...
Leo kutoka TCAA; Mamlaka inatafuta kuajiri raia ishirini na wanane (28) wa Kitanzania wenye sifa katika nyanja za Maafisa Usimamizi wa Trafiki wa Anga (14) na Maafisa Usimamizi wa Taarifa za Anga (14) kwa masharti kwamba, wahudhurie mafunzo ya awali ...
Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS); Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-06-2023 na tarehe 21-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni ...
Leo tarehe 23/07/2024, Serikali imetangaza Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Julai 2024 – Tanzania TPF. Mkuu wa Jeshi la Polisi anapenda kuwatangazia kuwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira TANZANIA POLICE FORCE RECRUITMENT PORTAL, ...