Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nafasi za Kazi Manispaa ya Tabora – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA MANISPAA YA TABORA Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 03 Septemba, 2024 MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa: Mkurugenzi wa Manispaa, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Mtaa waRead more
AJIRA MPYA MANISPAA YA TABORA
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 03 Septemba, 2024
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa:
Mkurugenzi wa Manispaa,
See lessHalmashauri ya Manispaa ya Tabora,
Mtaa wa Ikulu,
4Barabara ya Kiwanja cha Ndege,
S.L.P 174,
45182 TABORA.
Nafasi za Kazi TURSACCOS LTD – Agosti 2024
Ajira Mpya TURSACCOS LTD TURIANI SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY PRI-MRG-MVM-DC-2023-3822 P.O.BOX 73, TELEPHONE: 0627 283 981 E-mail: tursaccosltd@gmail.com OFFICE LOCATION: MADIZINI, TURIANI, MVOMERO DISTRICT, MOROGORO, TANZANIA. KUMB. N0. TURSACCOS/T./A.43/202 19/08/2024
Ajira Mpya TURSACCOS LTD
TURIANI SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY
PRI-MRG-MVM-DC-2023-3822
P.O.BOX 73,
TELEPHONE: 0627 283 981
E-mail: tursaccosltd@gmail.com
OFFICE LOCATION: MADIZINI, TURIANI, MVOMERO DISTRICT, MOROGORO, TANZANIA.
KUMB. N0. TURSACCOS/T./A.43/202
See less19/08/2024
Nafasi za Kazi Mji Kondoa – Utumishi Agosti 2024
AJIRA MPYA KONDOA AGOSTI 2024 - NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 26 Agosti 2024 Maombi yote yaelekezwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Mji Kondoa, S.L.P 711. Kondoa. Tangazo hili limetolewa na: Said M. Majaliwa MKURUGENZI WA MJI KONDOA.
AJIRA MPYA KONDOA AGOSTI 2024 – NAFASI ZA HALMASHAURI UTUMISHI
Mwisho wa kuwasilisha maombi ni tarehe 26 Agosti 2024
Maombi yote yaelekezwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Mji Kondoa,
S.L.P 711.
Kondoa.
Tangazo hili limetolewa na:
See lessSaid M. Majaliwa
MKURUGENZI WA MJI
KONDOA.
Walioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Bunda 2024
ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC - INEC BUNDA 2024 Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: Jimbo la Mwibara usaili utafanyika tarehe 20/08/2024 katika eneo la OFISI ZA KATA. Jimbo la Bunda usaili utafanyika tarehe 21/08/2024 Katika eneo la TRC NYAMRead more
ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC – INEC BUNDA 2024
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
Jimbo la Mwibara usaili utafanyika tarehe 20/08/2024 katika eneo la OFISI ZA KATA.
Jimbo la Bunda usaili utafanyika tarehe 21/08/2024 Katika eneo la TRC NYAMUSWA.
Wasailiwa watatakiwa kufika kwenye eneo la usaili saa 1:30 Asubuhi.
Wasailiwa wanapaswa kuwa na vitambulisho kwa ajili ya utambuzi, Vitambulisho vitakavyokubaliwa ni pamoja na Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha Kazi, Kitambulisho cha Uraia, Leseni au Hati ya kusafiria.
Wasailiwa watatakiwa kufika na vyeti vya Taaluma na Ujuzi alionao.
Wasailiwa wazingatie tarehe, Muda na mahali uliopangiwa kufanyia usaili.
See lessWalioitwa Kazini Utumishi (PSRS) – Agosti 18. 2024
KUITWA KAZINI UTUMISHI AGOSTI 2024 Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea iRead more
KUITWA KAZINI UTUMISHI AGOSTI 2024
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
See lessWalioitwa kwenye Usaili NEC – INEC Tarime 2024
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC TARIME 2024 Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili. Nakala Tovuti ya Halmashauri ya Mji www.tarimetc.go.tz Mbao za matangazo
MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NEC TARIME 2024
Orodha ya wanaoitwa kwenye usaili imeambatishwa na tangazo hili.
Nakala
See lessTovuti ya Halmashauri ya Mji
http://www.tarimetc.go.tz
Mbao za matangazo
Nafasi za Ajira Serikalini – Nafasi 192 Utumishi Taasisi za Elimu Tanzania Agosti 2024
AJIRA MPYA UTUMISHI - NAFASI ZA AJIRA SERIKALINI AGOSTI 2024 Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 26 Agosti 2024; Wagombea walioorodheshwa tu ndio watajulishwa tarehe ya usaili Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyoRead more
AJIRA MPYA UTUMISHI – NAFASI ZA AJIRA SERIKALINI AGOSTI 2024
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 26 Agosti 2024;
Wagombea walioorodheshwa tu ndio watajulishwa tarehe ya usaili
Maombi yote lazima yatumwe kupitia Tovuti ya Kuajiri kwa kutumia anwani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ na si vinginevyo (Anwani hii pia inaweza kupatikana katika Tovuti ya PSRS, Bofya ‘Recruitment Portal’)
See less