Leo sekretarieti ya ajira imetangaza nafasi za kazi Nafasi za Kazi Wilaya ya Kakonko – Utumishi September 2024. Mkurugenzi Mtendaji amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa ...
Habari Times Latest Questions
Nafasi za Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anawatangazia Watumishi wa Umma wote nafasi za kazi kwa ajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba, 2024 Nafasi zinazotangazwa ni:- Msimamizi wa Kituo Afisa Mwandikishaji ...
Leo sekretarieti ya ajira PSRS, Imetangaza matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi ya teknolojia Mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 17/09/2024. Orodha kamili ipo chini. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na ...
TAARIFA: Kubadili Taarifa Waombaji Kazi Kada Ya Elimu. Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwajulisha wale wote walioomba kazi ya kufundisha katika Mikoa tofauti tofauti kuwa, imetoa siku tatu kuanzia terehe 14 mpaka16 Septemba, 2024 ...
Link za Magroup ya WhatsApp kwa walimu walioitwa kwenye usaili wa Utumishi ni njia muhimu ya mawasiliano na ushirikiano kati ya walimu wanaotafuta nafasi za kazi serikalini. Kupitia magroup haya, walimu wanaweza kushirikishana taarifa za muhimu kama tarehe za usaili, ...
Orodha ya majina ya walioitwa au Kuitwa Kazini Utumishi Leo 10.09.2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 13-05-2023 na tarehe 04-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji ...
Usaili Mteknolojia Dawa Na Usaili Maabara Leo sekretarieti ya Ajira imetangaza orodha ya majina ya waliofanya usaili kuwa Matokeo Ya Usaili Mteknolojia Dawa Na Maabara yametoka Utumishi. Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kwenda katika mikoa waliochagua kufanya kazi ...