Majina ya Walioitwa Kazini Utumishi (PSRS); Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 10-06-2023 na tarehe 21-06-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni ...
Habari Times Latest Questions
Mwongozo: Usajili wa TIN au Jinsi ya Kupata TIN Namba TRA – Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN, ambayo inasimama kwa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi, ni namba ya utambulisho kwa ajili ya masuala ya kodi. Vifupisho vya jina kamili ...
Tangazo la Ajira za Walimu 2024 Utumishi – Ajira za Ualimu UtumishiKatibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye ...
Leo kutoka utumishi (PSRS), Ajira Mpya – Nafasi za kazi Kigamboni – Utumishi 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Kigamboni kuomba nafasi za kazi ziliyotajwa hapo ...
Utaratibu wa Malipo ya Mkopo HESLB; Gharama za chakula na malazi, vitabu na viandikwa, mafunzo kwa vitendo, gharama za tafiti yatalipwa moja kwa moja kwa mwanafunzi wakati Ada ya mafunzo na mahitaji maalum ya kitivo yatalipwa moja kwa moja kwenye ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Ajira mpya za ualimu, nafasi za kazi za walimu, Nafasi za Ajira za Ualimu Utumishi – Ajira za Walimu 2024; Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa ...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga amepokea Kibali cha Ajira Mpyakutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na UtawalaBora kupitia barua yenye Kumb.Na.FA. 97/288/01/09 ya tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo;anakaribisha maombi ya kazi kutoka ...