Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajita katika Utumishi wa Umma. Tangazo Muhimu kuhusu Ajira za Ualimu 2024. Ikumbukwe Julai 20, 2024 kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa walikaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania ...
Habari Times Latest Questions
Leo kutoka TCAA; Mamlaka inatafuta kuajiri raia ishirini na wanane (28) wa Kitanzania wenye sifa katika nyanja za Maafisa Usimamizi wa Trafiki wa Anga (14) na Maafisa Usimamizi wa Taarifa za Anga (14) kwa masharti kwamba, wahudhurie mafunzo ya awali ...
Leo kutoka utumishi, Nafasi za kazi Halmashauri ya Mji Kibaha – Julai 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024. Hivyo ...
Mwongozo: Ajira Mpya za Walimu Julai 2024 – Mfumo wa Maombi ya Ajira za Ualimu. Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa ...
Leo tarehe 24/07/2024; Benki ya NBC imetangaza fursa mpya kwa watanzania wenye nia na sifa za kuwania Ajira Mpya NBC Bank Tanzania – Julai 2024, Nafasi za kazi hizi ni kwa ‘Corporate Service Officer’. NBC ndiyo benki kongwe zaidi nchini ...
Leo kutoka Benki kuu ya Tanzania BOT, Wametangaza nafasi za Ufadhili wa Masomo Mfuko wa Kumbukumbu ya Udhamini wa Mwalimu Julius K. Nyerere; Udhamini wa Shahada ya Kwanza hutolewa kwa wanafunzi bora katika Mitihani ya Cheti cha Juu cha Elimu ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Wametangaza Nafasi za kazi Wilaya ya Ngorongoro – Utumishi Julai 2024; Kufuatia kutolewa kwa Kibali cha Ajira mpya chenye Kumb. Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya ...