Leo kutoka utumishi, Ajira mpya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji Mafinga kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. ...
Habari Times Latest Questions
Tanzania: Nafasi za Kazi Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC – Julai 2024; Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC (MKCB) inatafuta Meneja wa Tawi kwa ajili ya Tawi la Arusha. Nafasi hii inahitaji mtu mwenye uzoefu na ujuzi wa kusimamia ...
Kama wewe ni mwomba ajira katika sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma, Basi hizi ndizo Sifa za Mtendaji wa Kijiji Katika Ajira Utumishi. Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya ...
Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za Kazi Wilaya Nzega – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 ...
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA KATIKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Tangazo la ajira mpya, Nafasi za kazi Mkinga – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya ...
Mwongozo: Jinsi ya kulipa Deni la Traffic – TMS Jinsi ya kulipia deni la Gari. Wajulishe watumiaji wa barabara kuhusu jinsi ya kukagua kwa urahisi hali ya magari yao na leseni za barabarani, ikiwemo faini na adhabu zinazotokana na makosa ...