Kama wewe ni mwomba ajira katika Sekretarieti ya Ajira katika OR-Utumishi wa Umma, Basi hizi ndizo Sifa za Mwandishi Mwendesha Ofisi Katika Ajira Utumishi. Mwandishi Mwendesha Ofisi ni mtu anayesimamia shughuli za kiutawala na kazi za ofisi kwa ufanisi. Majukumu yake ...
Habari Times Latest Questions
Chuo Kikuu cha Mzumbe kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na wasio Watanzania kwa ajili ya kujiunga na programu mbalimbali za Shahada zinazotolewa katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa awamu ya kwanza ya utumaji ...
Leo kutoka utumishi (PSRS) wametoa tangazo la ajira mpya – Nafasi za kazi Arusha – Utumishi Julai 2024; Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira Mpya kwa mwaka wa fedha ...
Leo kutoka Sekretarieti ya ajira Utumishi (PSRS), Wametangaza Matokeo ya Usaili wa Kuandika TCAA – Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Julai 2024. Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa ...
Hii hapa orodha kamili ya Vyuo Vikuu Tanzania Chini ya TCU S/NJINA LA CHUO KIKUUMAKAO MAKUUAINAHADHI1Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)Dar es SalaamChuo Kikuu cha UmmaKimesajiliwa na Kupatiwa Hati2Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)MorogoroChuo Kikuu cha UmmaKimesajiliwa na ...
Leo kutoka utumishi (PSRS), Ajira Mpya – Nafasi za kazi Kigamboni – Utumishi 2024; Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Kigamboni kuomba nafasi za kazi ziliyotajwa hapo ...
Leo kutoka sekretarieti ya ajira (PSRS), Pitia tangazo la ajira mpya katika Nafasi za kazi Mji Tunduma – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Mji ...