Mwongozo: Jinsi ya kulipa Deni la Traffic – TMS Jinsi ya kulipia deni la Gari. Wajulishe watumiaji wa barabara kuhusu jinsi ya kukagua kwa urahisi hali ya magari yao na leseni za barabarani, ikiwemo faini na adhabu zinazotokana na makosa ...
Habari Times Latest Questions
TANGAZO LA AJIRA YA MUDA MFUPI LA KAZI YA KUKUSANYA TAARIFA ZA MAJENGO HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGAMBONI OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Ajira Mpya Manispaa ya Kigamboni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ...
Leo, sektarieti ya ajira wametangaza ajira mpya Nafasi za Kazi Wilaya ya Buhigwe – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, ...
Leo kutoka Utumishi (PSRS), Ajira Mpya – Nafasi za kazi Tume ya Utumishi Wa Bunge Tanzania – Utumishi Julai 2024; Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ...
leo Wizara ya Elimu Tanzania wametatoa TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI NA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025
Leo kutoka PSRS Sekretarieti ya Ajira, Serikali imetangaza Nafasi za kazi Wilaya ya Simanjiro – Utumishi Agosti 2024. Mkurugenzi amepata kibali kipya cha ajira kwa ikama ya mwaka 2023/2024 chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25.06.2024 kutoka kwa Katibu ...
Ajira Mpya – Nafasi za Kazi Cartrack – Julai 2024. “Tunajua kwamba kupata kazi yenye maana na yenye kuridhisha inaweza kuwa safari ndefu. Lengo letu ni kufanya mchakato huo kuwa rahisi iwezekanavyo kwako, na kuunda mazingira ya kazi yanayoridhisha – ...